Comparison ya akili na cheo ni tofauti sanaaaaHuyu dada kuna tatizo mahali..
Kama anaweza hata kumchezesha movie mkuu wa nchi basi ameshindikana.
[emoji125]Dokta napita
Mpigaji pia hupigwa ktk 18 za wajanja wake.Yanii me bado sipati jibuu... Amemtapeli mpaka rais
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie jamaaWastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu
Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vile
In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
Hapo kuna nini, tunaomba maelelezo.Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.
Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.
Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
Ndo zao wasukuma kutapeliwa si ndo washamba nambari wani njiniYanii me bado sipati jibuu... Amemtapeli mpaka rais
Sasa huyo mkuu kama mshamba wahuni wafanyeje na huku vyuma kavikaza mwenyewe,ni kumliza tuHuyu dada kuna tatizo mahali..
Kama anaweza hata kumchezesha movie mkuu wa nchi basi ameshindikana.
U cant fool all people.nimeona mitandaoni nikacheka sana na mwenyewe akafuta hapo hapo kuona kumbe wabongo sio bongo lala