Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwa maelezo ya Dr.Luis amemwambia Mange kimambi kuwa hiyo Cannula imekosewa kuwekwa.Mie hata sielewi,
Sijawahi kuumwa nikawekewa hiyo cannula
Hivyo najaribu kuangalia sioni tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo ya Dr.Luis amemwambia Mange kimambi kuwa hiyo Cannula imekosewa kuwekwa.Mie hata sielewi,
Sijawahi kuumwa nikawekewa hiyo cannula
Hivyo najaribu kuangalia sioni tatizo
Kilichomuumbua ni canula kuelekea chini vidoleni baada ya kuelekea juu kwenye mabega,na La kuifuta post haraka baada ya kuona kaumbuka,Halafu atasababisha wengine washindwe pata msaada sabb yake!
Shauri yake mama cannula!
Ww mama acha kujitoa ufahamu unajua flow ya damu ilivyo?? Canulla tangu lini inaelekea vidoleni??Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Hata picha selfie yenyewe imepigwa kisanii sana. Nia ilikuwa ni kuonyesha uso wenye huzuni na mkono wenye hizo canulla.Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika
Bora uaingeandika huu uharo. Kwani kwa kua watu hawajawahi kuugua ndio kwamba hawajui taratibu za matibabu yanafanyikaje?Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Imekosewaje kuwekwa mkuu, Embu Fafanua.Mm niliona nikajua may be india tofaut na kwetu
Huyu atapiga dili na yy atapigwa sn. Nini mil 15 bana.Yanii me bado sipati jibuu... Amemtapeli mpaka rais
Kama washaonyesha nazi inadondoka chini ya mwembe unategemea nini?U cant fool all people.
bongo muvi akili zao huwa ni ndogo sana.
Acha kucomment pumba, ni bora kukaa kimya kuliko kutangaza umbumbu wako... watu wameumwa zaidi yake na watu wameuguza magonjwa makubwa zaidi yake. Kukatika mguu sio mwisho wa maisha watu wana cancer mpaka huruma. Huyu bi dada kujifanya yeye ndo mama sympathy muda wote na kuharibia wenzie ambao wana shida kweli.Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Huyu itakua hajamchangiaa hataa 50 laiti angechangaa afuu akajuaa katapeliwaa asingekazaa ubongoo... Na hata kama mtu hujachangaa suala la KULITAPELII TAIFAA ZIMAA HALIKUBALIKI...RAIS KATOA KODI ZETU ZILEAcha kucomment pumba, ni bora kukaa kimya kuliko kutangaza umbumbu wako... watu wameumwa zaidi yake na watu wameuguza magonjwa makubwa zaidi yake. Kukatika mguu sio mwisho wa maisha watu wana cancer mpaka huruma. Huyu bi dada kujifanya yeye ndo mama sympathy muda wote na kuharibia wenzie ambao wana shida kweli.
Kabla hujatetea upuuzi kajielimishe mzunguko wa damu na uliza kwa wataalamu wa afya, pita google na you tube utafute cannula iliyochomekwa hiyo na kujazwa plasta namna hiyo.
Wajinga ndo waliwao na watu kama wewe ndo wakudanganywa hovyo hovyo.... unaleta hisia kwenye taaluma za watu? Penye ukweli usemwe huyu dada ni mpigaji asiyejua kutumia akili na maarifa.
Haa ha...hoja ya tako tenaa!! Afuu mweusii huyoo...akati Wahindii wabaguzii kwelii..Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Hahahahawatu wamemchoka eti wanamuita Mama Cannula