Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungependa wajadili nini ?.... maana viwanda hamna kwa sasa.Kwahiyo na hii nayo ni habàri ya kujadili?? Viwanda bado sana
Enheeee ila sasa huo uelekeo wa hyo sindano ndo unaleta sintofahamu....Wakati mwingine hiyo sindano inakuwa imetulizwa tu hapo ikingojea drip.
Ana kipaji kikubwa cha uigizaji, ameweza kumdanganya Rais wa nchi aisee!Sijui huyu Dada ana gundu la wapi.
Haa ha ha...shida sanaa!! Wastar komeshaAna kipaji kikubwa cha uigizaji, ameweza kumdanganya Rais wa nchi aisee!
Nashauri Rais wetu kupitia nafasi yake amfanyie mpango huyu dada akaigize Hollywood USA, hope kwa kipaji chake watampokea
Laiti ungeweka na hizo alizofuta ungeeleweka. Kutokufanya hivyo, ni uzushi na upotofu kuleta mada kama hiyo, isiyojitoshelezaHizoo zilichukuliwaa kabla hajafuta...internet never forget
AiseeWakati mwingine hiyo sindano inakuwa imetulizwa tu hapo ikingojea drip.
Hivi Ww Unafikiri hela alizotoa Rais zilikatwa kwny mshahara wake? Au alitoa pesa zetu walipa kodi?Msifatilie yasiyo wahusu... Hata hamkuchangia...
badala ya kuhoji anatibiwa wapi? binadamu mnaanza kumuhukumu......wastara sio nurse wala dr yawezekana hospital anayopata tiba ndio majanga so sisi kama watanzania tunapashwa kujua ili aende hospital nzuri zenye wahudumu wenye weledi.....wastara hawezi jiwekea cannula banaDah, hii balaa. Milioni kumi yetu imepotea kijinga! Aaah, sorry, ni 10m ya Rais na mkewe!!! Tehe tehe, tehe.
Hajajiwekaaa...kategeshewaa tuu ilii apige pichaa atumee kuridhisha watuu...!!badala ya kuhoji anatibiwa wapi? binadamu mnaanza kumuhukumu......wastara sio nurse wala dr yawezekana hospital anayopata tiba ndi majanga so sisi kama watanzania tunapashwa kujua ili aende hospital nzuri zenye wahudumu wenye weledi.....wastara hawezi jiwekea cannula bana