Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

je wewe ulichanga?!!..au povu tu linakutoka ...waliomchangia tu ndo ruhusa povu
 
Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu

Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vile

In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ndo zao wasukuma kutapeliwa si ndo washamba nambari wani njini

kama wasukuma ndio washamba basi ushamba wao wanaendesha nchi na wewe mjanja umenyooka na bado mshamba ataendelea kukuongoza huyo huyo msukuma ndio mkuu wako wa mkoa anaemsaidia baba yako kadhulumiwa ardhi huyo huyo unamwita mshamba kakuletea meli na madaktari wajomba zako wote wameenda kuchekiwa na kutibiwa wewe ndio mjaja kukaa kwenye kahawa
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Kilichomfanya afute hiyo picha ni nini .?
 
Huyu mwanamke kila ninapomuona kwny picha huwa anakuwa analia, Ana matatizo gani? Hivi yy Ndio wa kwanza kupata Ajali na kuumia?

Huwa analilia nn haswa?
Kukosa kiungo sio jambo rahisi, hadi ukubaliane na hali
 
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.

Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.

Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
7ee3a98444c55c205e7c5b117784799d.jpg
Kwa hio kumbe mkuu zile 15m ilikuwa maigizzo watz wajue jamaa anajali au
 
Picha huzioni au????
kuweka yeye au ma nurses/drs ndo wamekosea? kwako halipo.....tusihukumu kila wakati,,,,,,tujiulize yupo wapi wanakotoa tiba kwa style hii? then tukianzia hapo tuendelee na kuhoji mboja tiba wanakupa tofauti?
simtetei kwa sababu simjui hanijui......issue kuhukumu tungejua alipo kwanza lets say yupo Aga khan hapo tutaanza kuhoji kweli ? Aga khan?
 
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.

Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.

Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
7ee3a98444c55c205e7c5b117784799d.jpg
Mkuu naona mikono ya watu 2 tofauti hapo.M1 uko kama mzungu Mzee ,mwengne uko kama mwafrika kijana.(Inawwzekana mkono m1 c wa wastara)
 
kuweka yeye au ma nurses/drs ndo wamekosea? kwako halipo.....tusihukumu kila wakati,,,,,,tujiulize yupo wapi wanakotoa tiba kwa style hii? then tukianzia hapo tuendelee na kuhoji mboja tiba wanakupa tofauti?
simtetei kwa sababu simjui hanijui......issue kuhukumu tungejua alipo kwanza lets say yupo Aga khan hapo tutaanza kuhoji kweli ? Aga khan?
Haaaa.. Wee jamaa unazinguaa...!! Ndo maana doctor wa Bongo anaweza fanya kazii sehemu popotr palee sababu Njia za utoaji matibabu kwa magonjwa Mengi ni mojaaa!! Sasa wew hiyo drip iwekwee cannula inaelekea kweny Vidolee maana ake dawaa inaenda kwenye Kucha au!???
 
Kukosa kiungo sio jambo rahisi, hadi ukubaliane na hali
Mkuu
I really feel sorry for her kukatwa mguu, niwe mkweli Katika Hilo.

Tatizo linapokuja ni kudanganya Umma ikiwemo serikali kuwa anaenda kutibiwa kumbe anaenda kufanya shopping.

This is too bad
 
Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Mamndenyi inaonekna wewe umetoka Mamndenyi juzi juzi na ushamba wa mamndenyi bado unao. Unatakiwa kuelewa somo kabla hujabisha! Na njia nzuri ni kuuliza. Tatizo sio hicho ''kidude'' ambacho kwa jina la kitibabu kinaitwa canulla kuwa hapo mkononi. Tatizo ni kimegeukia chini. Yaani ule uwazi wa kuingiza dawa yenye maji umekuwa kwa juu na sindano ikailekezwa chini kwenye vidole. Wakati inatakiwa ile sindano ichomekwe kwenye mshipa wa damu kuelekea juu! Kwanini wanaweka hivyo? Kwa sababu nia ni ku-pump dawa kwenye mishipa ili iingie kwenye mwili hivyo ni lazima ufuate mkondo wa damu unavyokwenda!
 
Mkono wa wastara upo kifuani kwake au humjui wastaraa unabishaa tu hapa??
Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
 
Kumbee hataa point tunayoongea huijuii!! Angalia jinsi mkono wa wastara ulivyokosewa kuweka hiyo cannula... ALAFU HIYOO MIKONO MINGINE NI NJIAA SAHIHI NA UELEKEO WA CANNULA INAVYOWEKWAAA..
 
Back
Top Bottom