pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Mbombo ngafu bongo movie wanaigiza mpaka afya zao anawaharibia wenzie ambao kweli wanahitaji msaada yaani siamini kampiga mpaka baba jesca [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwanini kafuta hiyo post?... Shule muhimu sana!Kilichomuumbua ni canula kuelekea chini vidoleni baada ya kuelekea juu kwenye mabega,na La kuifuta post haraka baada ya kuona kaumbuka,
Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika
TununuMambo ya Mbombo nunu haya
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Milion 43 kawapiga maboya[emoji38] [emoji38]Dah, hii balaa. Milioni kumi yetu imepotea kijinga! Aaah, sorry, ni 10m ya Rais na mkewe!!! Tehe tehe, tehe.
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.
Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.
Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
![]()
Picha si hiyo wa wastara!! Jiondoe tu!!!Ww mama acha kujitoa ufahamu unajua flow ya damu ilivyo?? Canulla tangu lini inaelekea vidoleni??
- Na unapobisha ujue unachobisha ni niini?
Weka picha hata ya MTU mmoja ambae canula inaelekea vidoleni nijiondoe jf
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]HEBU TUANZE NA HIYO LOGO HAPO ILI TUJUE NI YA KAMPUNI GANI...
JE NI LOGO YA HOSPITAL..??, HOTELI..?? AU KAMPUNI INAYOTENGENEZA NGUO BAADA YA HAPO TUENDELEE NA MJADALA...
![]()
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Shida ni uelekeo mama.... jiulize kwanini kakimbilia kufuta picha baada ya kukosolewa?? Juzi kati aliweza kutetea maneno mengi aliyotupiwa yasiyokua na ushahidi... leo yeye ndo mwenye ushahidi anakimbilia kuufuta...think again!!!Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Hizoo zilichukuliwaa kabla hajafuta...internet never forgetJe, ni mgonjwa kweli, au?
Au una visa naye?
Kwamba unasema Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost, basi hizo picha ulizoweka bila ufafanuzi, hazina maana kabisa.