Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Halafu atasababisha wengine washindwe pata msaada sabb yake!

Shauri yake mama cannula!
Kilichomuumbua ni canula kuelekea chini vidoleni baada ya kuelekea juu kwenye mabega,na La kuifuta post haraka baada ya kuona kaumbuka,
 
Bado siamini maneno yote yale na vilio vyote vili ndo malipo yake haya. Wacha niendelee kuamini kama si yeye mwenye cannula yenye bandage nyingi hivyo na mwelekeo fake.
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Ww mama acha kujitoa ufahamu unajua flow ya damu ilivyo?? Canulla tangu lini inaelekea vidoleni??
- Na unapobisha ujue unachobisha ni niini?
Weka picha hata ya MTU mmoja ambae canula inaelekea vidoleni nijiondoe jf
 
Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika
Hata picha selfie yenyewe imepigwa kisanii sana. Nia ilikuwa ni kuonyesha uso wenye huzuni na mkono wenye hizo canulla.
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Bora uaingeandika huu uharo. Kwani kwa kua watu hawajawahi kuugua ndio kwamba hawajui taratibu za matibabu yanafanyikaje?

Hovyo kabisa.
 
Huyu dada Tapeli,yule mbuge x wake alivyomuuliza risit na document za hospital wastara akampga chini!very sad to ths laidy,
 
Hili la kumtapeli Rais wa nchi ni aibu na uhuni wa kupindukia, arobaini yake imefika Sasa!
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Acha kucomment pumba, ni bora kukaa kimya kuliko kutangaza umbumbu wako... watu wameumwa zaidi yake na watu wameuguza magonjwa makubwa zaidi yake. Kukatika mguu sio mwisho wa maisha watu wana cancer mpaka huruma. Huyu bi dada kujifanya yeye ndo mama sympathy muda wote na kuharibia wenzie ambao wana shida kweli.
Kabla hujatetea upuuzi kajielimishe mzunguko wa damu na uliza kwa wataalamu wa afya, pita google na you tube utafute cannula iliyochomekwa hiyo na kujazwa plasta namna hiyo.
Wajinga ndo waliwao na watu kama wewe ndo wakudanganywa hovyo hovyo.... unaleta hisia kwenye taaluma za watu? Penye ukweli usemwe huyu dada ni mpigaji asiyejua kutumia akili na maarifa.
 
Huyu itakua hajamchangiaa hataa 50 laiti angechangaa afuu akajuaa katapeliwaa asingekazaa ubongoo... Na hata kama mtu hujachangaa suala la KULITAPELII TAIFAA ZIMAA HALIKUBALIKI...RAIS KATOA KODI ZETU ZILE
 
Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Haa ha...hoja ya tako tenaa!! Afuu mweusii huyoo...akati Wahindii wabaguzii kwelii..
 
dada ni muigizaji jamani sema bongo movie wanakoseaga vitu vingi kwenye maigizo yao mf. jambazi kuvua viatu..kuonja sumu n.k...so nadhan msijali sana director anashughulikia hili swala la cannulation ...big up wastara kwa kumpiga cha mbavu baba jurgen kitaaluma
 
Back
Top Bottom