Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.

Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.

Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
7ee3a98444c55c205e7c5b117784799d.jpg
 
Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu

Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule mzee namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu

Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vile

In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie jamaa
 
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.

Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.

Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
7ee3a98444c55c205e7c5b117784799d.jpg
Hapo kuna nini, tunaomba maelelezo.
 
Back
Top Bottom