FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwahiyo nini kilimfanya afute hizo picha za Canulla iliyogeuzwa kupeleka dawa kwenye kucha?Wastara yupo Hosp India na si vinginevo
Cannula challenge kweli kweliCannula Challenge
India ndio wanachomeka Canulla ipeleke dawa kwenye kucha? Na kulikuwa ya haja gani ya kufuta hio picha ya Canulla?Si kasema india au wewe unataka nini?
Nitake radhi mkuunimeona mitandaoni nikacheka sana na mwenyewe akafuta hapo hapo kuona kumbe wabongo sio bongo lala
Jamani wewe haki nmechekaaa
Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu
Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule mzee namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyu mwanamke kila ninapomuona kwny picha huwa anakuwa analia, Ana matatizo gani? Hivi yy Ndio wa kwanza kupata Ajali na kuumia?
Huwa analilia nn haswa?
Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Mkui Drip huwa HAIWEKWIIII HIVYOOO MAHALI POPOTE DUNIANI...!! Sasa ukiweka hiyo cannula kuelekea kwenye vidolee ina maana dawaa iende kwenye Vidole na kucha au???
Ipige cross..?????? Itakuwa ulisoma Arts alafu miaka ya 1990...Kitaalam......cannula inatakiwa iwekwe kuelekea kwenye kucha ili dawa ipige cross yenyewe kwenda juu taratiiiiiibu.....Hii ni kuzuia dawa kumjaa mgonjwa.....
Dr Preta........
Sio kila anaetafuta kazi humu bhasi ni yeye ndo anatafutaa...!! [HASHTAG]#kitulizee[/HASHTAG]
Kweli bongo nyosso....hahahahahaaYanii me bado sipati jibuu... Amemtapeli mpaka rais