Ipige cross..?????? Itakuwa ulisoma Arts alafu miaka ya 1990...
Yani nacheka peke Yangu mpaka jirani hapa kwenye diamond jubilee aninsonya... HahahahahaWastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu
Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule mzee namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyu itakua hajamchangiaa hataa 50 laiti angechangaa afuu akajuaa katapeliwaa asingekazaa ubongoo... Na hata kama mtu hujachangaa suala la KULITAPELII TAIFAA ZIMAA HALIKUBALIKI...RAIS KATOA KODI ZETU ZILE
Sasa huyo mkuu kama mshamba wahuni wafanyeje na huku vyuma kavikaza mwenyewe,ni kumliza tu
Hivi wewe Mamandenyi una hamu ya matusi ya weekend au umeshaambiwa tumeingizwa chaka wewe bado upo tu kutetea ujingaMama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Hebu soma tena ulichoandika maana huelewi hata kinachoendeleaBisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Hakuna Principle ya kumpa mgonjwa dawaa kwa njiaa hiyoo ilii iingie Taratibu... UKITUMIA NJIA YA DRIP AU IV unaweza kabisaa kucontrol rate ya dawaaa kuingiaa... Huoo upuuzi wako wa Dawaaa kupiga CROSS LABDAA KOLOMIJEE....Unaona sasa......ushaanza kubishana na dokta.......
Taifa la majuha mtu akilia tu anapewa maburungutu ya helaKiufupi Taifaa zimaa tumeingia cha KIKEE...!!
Kama hujui kitu kaa kimyaWakati mwingine hiyo sindano inakuwa imetulizwa tu hapo ikingojea drip.
Hakuna Principle ya kumpa mgonjwa dawaa kwa njiaa hiyoo ilii iingie Taratibu... UKITUMIA NJIA YA DRIP AU IV unaweza kabisaa kucontrol rate ya dawaaa kuingiaa... Huoo upuuzi wako wa Dawaaa kupiga CROSS LABDAA KOLOMIJEE....
Hakuna nurse wa kukosea hivyo dunia nzima, umeona wapi mgonjwa kafungwa plaster zote hizokuweka yeye au ma nurses/drs ndo wamekosea? kwako halipo.....tusihukumu kila wakati,,,,,,tujiulize yupo wapi wanakotoa tiba kwa style hii? then tukianzia hapo tuendelee na kuhoji mboja tiba wanakupa tofauti?
simtetei kwa sababu simjui hanijui......issue kuhukumu tungejua alipo kwanza lets say yupo Aga khan hapo tutaanza kuhoji kweli ? Aga khan?
Dr umemisika,Kitaalam......cannula inatakiwa iwekwe kuelekea kwenye kucha ili dawa ipige cross yenyewe kwenda juu taratiiiiiibu.....Hii ni kuzuia dawa kumjaa mgonjwa.....
Dr Preta........
aaaaah hujanisoma binafsi nilitaka tuanze mbali kidogo kumuuliza dada yetu wastara amelazwa wapi wanakotoa huduma hivyo? sio kama namtetea la hasha siwezi mtetea mtu ambaye simjui na sijuli kaliba yakeHakuna nurse wa kukosea hivyo dunia nzima, umeona wapi mgonjwa kafungwa plaster zote hizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniongezea muda Wa kuishi dunianiHalafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Hiyo ni [HASHTAG]#CannulaChallenge[/HASHTAG]Hapo kuna nini, tunaomba maelelezo.
Teknologia ya kule ausio...????