Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Kumbe huwafatilii kulikua na ulazima gani wa kuleta habari zao??
 
Ninadhani hao mudisi itakuwa wamepumxika ngoja kuche watasahihisha
 
Naogopa kuwa mfuata mkumbo kwa kwa hili ..

Maana nchi hii sasa wote Nyumbu. Akicheua Mange tu...tweenndeee...
 
Comparison ya akili na cheo ni tofauti sanaaaa
That's is how wadada wa Dar wanapata grisi.......
Bongo muvi,bongo wenge/
Mkulu na washauli wake wapigwa wenge/
Hilo ndio dadaz genge/
Pole wastara
hahaaaa wenge tena lile LA kuku baada ya kumuona mwewe
 
Tatizo la wabongo movie shule ndogo ndo maana ma movie yao ni kitoto toto yaani ujinga ujinga mwingi hawako serious na kazi kabisa.
 
Mimi navyoelewa hiyo ni filamu yake mpya iliyoanza kutoka hivi karibuni na uzuri tumeanza kuitangaza wenyewe. ..
 
KAMA MPKA RAISI WA NCHI YETU ANATAPELIWA KIRAHISI RAHISI KIASI HIKI ...HUKU NCHI IKIWA NA MADOCTOR WABOBEZI NA VYOMBO MBALI MBALI VYA USALAMA AMBAVYO VINGEWEZA KUMFANYIA UCHUNGUZI MUHUSIKA DHIDI YA MADAI YAKE ALIYOKUWA ANAYATOA KUHUSU AFYA YAKE ..BASII HII NI ISHARA TOSHA KUWA SIKU SI NYINGI TUTABAINI KUWA TUMESHAUZWA KWA BEI CHEE NA TUMETAPELIWA TAIFA LOTE..

YAANI KAMA MTU KAMA WASTARA AMABYE HANA ELIMU YOYOTE YA JUU AMEWEZA KUFAKE NEWZ NAKULIONGOPEA TAIFA TENA KAMUONGOPEA MTU MWENYE PHD ...SALALEEEE SASA SIJUI TUTAWEZA KUWAKABILI VIPI MAJASUSI WAKUBWA WANAOTUSHIA KTK HUU ULIMWENGU ILI WASIWEZE KUTURUBUNI NA KUFIKIA HATUA YAKUZICHOTA RASIMALI ZETU KAMA FUNDI UJENZI ACHOTAVYO KIFUSI CHA MCHNGA..

HILI TUKIO LA ONYESHA WAZI KUWA VIONGIZI WETU TULIO NAO WENGI NI MA SLOW LEANER KUANZIA NGAZI YA PALE MAGOGONI MPKA HUKU MITAANI ..

HUZUNI MNOOO AISEEE...RAISI KAPIGWA CHANGA NA MAMALAKA HUSIKA ZA UCHUNGUZI ZIKIWEPO HII KALI ...

MANINA NGOJA NIANDAE VISA NISEPE
 
Tatizo la wabongo movie shule ndogo ndo maana ma movie yao ni kitoto toto yaani ujinga ujinga mwingi hawako serious na kazi kabisa.
sema kuwa viongozi wako ndio elimu zao bure kabisa..mtu Mwenye PHD KAPIGWA NA. FORM 4 HUKO THEN HAUSHANGAI... HAHAAA...

UNAROHO NGUMU SANAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…