Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
hahaaa sasa anamdanganya nani kwa mfano daaahh
hiyo mbona ni issue ndogo tu watu wanaweza kutrace namba zake za Simu kisha zikaonyesha mahala alipo ..hebu aache kutaka kujifnya anajua sana mbele ya watu wenye akili kubwa ataumbuka zaidi..

ila mkubali mkatae sizonje ni jipu ..hamna kitu mule kichwa chake ni empty set ..yaani mtu Mwenye PhD watapeliwa na bongo movie manina wallai ..wakati unamkomo mrefu mnoo.alipaswa kuwatumia madoctr ambao wanafnya kazi usalama waende kumuhoji muhusika kuhusu ugonjwa wake ..kisha baada ya kurifhishwa na majibu ndio watoe hzo Pesa..

hahaaaa hawaviongoz wanaotuongoza sijui watatufikisha wapi aiseee
 
Mkuu Ww unaona Hiyo mikono inafanana Hapo? Ni mikono ya mtu mweusi Hiyo?
Hilo sio tatizo, hiyo mikono meupe mtoa mada kaonyesha namna sahihi wa Cannula inatakiwa ikae...hiyo ya kwanza ndio ya Wastara Cannula imekaa upside down ..
 
Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Hii mbona sijaiona mkuu? Embu itume nijiridhishe
 
hahaaa sasa anamdanganya nani kwa mfano daaahh
hiyo mbona ni issue ndogo tu watu wanaweza kutrace namba zake za Simu kisha zikaonyesha mahala alipo ..hebu aache kutaka kujifnya anajua sana mbele ya watu wenye akili kubwa ataumbuka zaidi..

ila mkubali mkatae sizonje ni jipu ..hamna kitu mule kichwa chake ni empty set ..yaani mtu Mwenye PhD watapeliwa na bongo movie manina wallai ..wakati unamkomo mrefu mnoo.alipaswa kuwatumia madoctr ambao wanafnya kazi usalama waende kumuhoji muhusika kuhusu ugonjwa wake ..kisha baada ya kurifhishwa na majibu ndio watoe hzo Pesa..

hahaaaa hawaviongoz wanaotuongoza sijui watatufikisha wapi aiseee
Wekeni akiba ya maneno...
Mtaumbuka.
 
Wastaraa Yupoo INDIAAA KAENDA JUZII KWA AJILI YA MATIBABUUUUU...!! Sasaa unataka kunambia India cannula wanaweka hivyo??? Manesi wanavaa hizo nguo za kijani za nesi assistant wa bongo???
Wacha maneno mengi Weka hiyo pic ya nurse .
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.

Mamndeni salamu kwako.
Sikuwahi kufuatilia ishu za ugonjwa wa Wastara.
Ila kuna kitu hakiko sawa mahali fulani.
Ni kwa nini picha aliyoweka kaifuta baada ya watu kuhoji usahihi wa uwekaji wa hiyo canula??
Kuna kitu hakiko sawa mahali.
 
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.

Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.

Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
7ee3a98444c55c205e7c5b117784799d.jpg
Unauliza katoa wapi ujasiri mbele ya pesa? Hiyo si moja ya njia ya kutafuta, kajaribu zali limetiki, safi Sana, laizima uwe jasiri, ukipa umepat ukifeli poa tu.
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Not in that direction Dada yangu.
Hatubishii mtu kuumwa ila wasijaribu kudanganya.
Hakuna canula inawekwa kwa stail ile duniani kite. Na shule zote za medicine zinafundisha venous cannulation.
Veins haziendi kwa direction hiyo.
Lile tumepigwa garasa tu.
Kwanza angekuwa huko hospitali angekuwa kashaongeza picha.
 
Ndio anadanganya Dada Mange kasema

In wavulana wa Dar voice
 
Huyu mwanamke kila ninapomuona kwny picha huwa anakuwa analia, Ana matatizo gani? Hivi yy Ndio wa kwanza kupata Ajali na kuumia?

Huwa analilia nn haswa?
mkuu kuna hizo type za wanawake, nadhani ni majini labda wnakuwa nayo, yani yeye anajivesha imani ya kuwa anastahiki kuonewa tu huruma, ukimshauri tofauti anakuona ni mtu mmoja katili sana, matokeo yake kama akiolewa utakuta familia haiendi, na ukiweka h/girl kwa ukali anaweza kuacha kazi, na mwishowe anaweza kwenda kw wazazi wake kuugulia kwao in undefined duration, nimeshashuhudia mdada wa dzain hiyo. tumtumie huyu na wanaoanana naye kujua na kutatua tatizo
 
Back
Top Bottom