hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaa sasa anamdanganya nani kwa mfano daaahhHalafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
hiyo mbona ni issue ndogo tu watu wanaweza kutrace namba zake za Simu kisha zikaonyesha mahala alipo ..hebu aache kutaka kujifnya anajua sana mbele ya watu wenye akili kubwa ataumbuka zaidi..
ila mkubali mkatae sizonje ni jipu ..hamna kitu mule kichwa chake ni empty set ..yaani mtu Mwenye PhD watapeliwa na bongo movie manina wallai ..wakati unamkomo mrefu mnoo.alipaswa kuwatumia madoctr ambao wanafnya kazi usalama waende kumuhoji muhusika kuhusu ugonjwa wake ..kisha baada ya kurifhishwa na majibu ndio watoe hzo Pesa..
hahaaaa hawaviongoz wanaotuongoza sijui watatufikisha wapi aiseee