Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,646
Kwakweli watu wengine wamezaliwa na neema, 15ml ningepata mimi leo haya masikio yangu yangepona kabisa maana ni kitendo ya kuziba matobo kwnye ngoma tu.
Ila viongozi jamani angalieni na watu wa kusaidia kuna watu tanzania hii wana magonjwa makubwa ambayo hata nusu hawezi kufika wastara
Kuna wengine laki moja tu inatosha kutibu magonjwa ambayo ukitazama wastara unaweza muona ana nafuu