Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Kwakweli watu wengine wamezaliwa na neema, 15ml ningepata mimi leo haya masikio yangu yangepona kabisa maana ni kitendo ya kuziba matobo kwnye ngoma tu.

Ila viongozi jamani angalieni na watu wa kusaidia kuna watu tanzania hii wana magonjwa makubwa ambayo hata nusu hawezi kufika wastara

Kuna wengine laki moja tu inatosha kutibu magonjwa ambayo ukitazama wastara unaweza muona ana nafuu
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
N liccm hlo lidada
Akipata matatizo le kamanda wetu mangelile ndo utatuona tulivyo na huruma za kisiasa siasa tu
Poor and fool
 
mkuu kuna hizo type za wanawake, nadhani ni majini labda wnakuwa nayo, yani yeye anajivesha imani ya kuwa anastahiki kuonewa tu huruma, ukimshauri tofauti anakuona ni mtu mmoja katili sana, matokeo yake kama akiolewa utakuta familia haiendi, na ukiweka h/girl kwa ukali anaweza kuacha kazi, na mwishowe anaweza kwenda kw wazazi wake kuugulia kwao in undefined duration, nimeshashuhudia mdada wa dzain hiyo. tumtumie huyu na wanaoanana naye kujua na kutatua tatizo
Huu ni moja ya mifano ya tabia za wanawake wa zama hizi,fikiria km mwanamke yupo radhi kumbambika mume ubakaji,uf*raji nk ili aonewe huruma na mahakama,
Km mwanamke yupo radhi kuja hadharani kulia mitandaoni na kusema mume hana hela,
Km mwanamke anasema hadharani mume hamridhishi kingono
Haya na huyu yupo radhi kusingizia ugonjwa,
Mwanaume utaekuwa hauamini kuwa mwanamke asiye mcha Mungu ni adui yako hatari aliyejivika urafiki kwa nje
 
Mshipa umepatikana hapo na dokita katumia uzoefu wake kufanikisha dawa iingie , mi naona IPO sawa wana JF tulizeni jaziba mtoto Wastara anaumwa muombeeni apone mapema.
 
Marco Polo

Haa ha... AFUU WAHINDII WABAGUZII HATARIIII..!! Leoo hiii huyo mdada black apatee ajiraa huko india kirahisi tu??? Alafu kwamba huyo dada nesi alisomea nchini kwake Hasa afrika maaana ni mweusi afuu Akaenda kuajiriwa India??? Na uniform ofcoz ni Tanzania Nurse Assistant so hapoo ni mvurugano.. Ukifatiliaa kwa umakini utajua MAMA CANNULA KATUTAPELIII...KATUPIGAA MPUNGAA
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Wewe umeangalia picha zote na utofauti wake? Angalia picha ya kwanza halafu compare and contrast na zinazofuata na pillow.
 
Mshipa umepatikana hapo na dokita katumia uzoefu wake kufanikisha dawa iingie , mi naona IPO sawa wana JF tulizeni jaziba mtoto Wastara anaumwa muombeeni apone mapema.
Fuatilia comments za watu wengine utajua hoja ni nini. Kuwepo hapo si hoja, wengi wanawekewa hapo. Hoja ni uelekeo wa hicho kisindano cha kuingizia dawa, cannula kimeelekezwa kwenye vidole badala ya kuelekezwa kule inakotakiwa dawa kuelekea. Angalia hizo picha zingine zilizoambatanishwa hapo utaona usahihi wake na utagundua hiyo yake iko wrong.
 
Haa ha... AFUU WAHINDII WABAGUZII HATARIIII..!! Leoo hiii huyo mdada black apatee ajiraa huko india kirahisi tu??? Alafu kwamba huyo dada nesi alisomea nchini kwake Hasa afrika maaana ni mweusi afuu Akaenda kuajiriwa India??? Na uniform ofcoz ni Tanzania Nurse Assistant so hapoo ni mvurugano.. Ukifatiliaa kwa umakini utajua MAMA CANNULA KATUTAPELIII...KATUPIGAA MPUNGAA
Hizo ni uniform za manesi wadogo wa tz
 
Back
Top Bottom