Kwan hii post ipo jukwaa gani?? Au unaona kila kitu ni cha kushabikia??Ukitaka hayo nenda jukwaa la elimu
Lazima tufuatilie tujue kama tumetapeliwa, tukomeshe utapeliMnaacha kushupalia kuporomoka kwa elimu nchini na upatikanaji wa ajiraza uhakika zenye mikataba,mnakazi ya kufatilia visivyokuwa na maana.ndio maana tunatukanwa daily na wazungu. [HASHTAG]#Tubadilike[/HASHTAG] watanzania#
Mshahara wa rais ni kodi zetuImeandikwa wapi?.. kwani hapokei mshahara?.. unayajua matumizi ya mshahara wake?..
Mwambie abaki hukohukoYupo yombo gheto kwangu...VP kwan
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mkuu umetapeliwa vingapi mpk uanze na hili kukomesha??Lazima tufuatilie tujue kama tumetapeliwa, tukomeshe utapeli
Kwani mauaji, wizi, ubakaji, ufisadi nk tunavyopigana kuvikomesha vimeanza leo au jana?[emoji12] [emoji12] [emoji12] mkuu umetapeliwa vingapi mpk uanze na hili kukomesha??
Imeandikwa wapi!?..Hana biashara?.. alikua omba omba kabla ya kuwa raisi?..Mshahara wa rais ni kodi zetu
una umwa wewe... ila tofauti wewe una tembea wengine wapo kitandani...Mchango wa rais ni kodi zetu
mshahara ni nini? kodi ni nini?Mshahara wa rais ni kodi zetu
yupo hospt gani? agha khan na ocean road pia nazani kuna wahindi... wahindi wameenea duniani pia...Aliona watu wamemshtukia akaona akimbie kwenda India kuondoa aibu na kuogopa watu wacje dai lisiti ya michango yao
Rais katoa pesa yake aliyoivujia jasho na sio kodi yakoMchango wa rais ni kodi zetu
Alafu sijui kinatokea nini... Kila mtu saivi amekuwa na tabia hizo.. Si msomi wala wafoo..Watanzania bhana, akili zetu basi tu
Tumejaa Umbea, Fitina, Wivu, Uongo na Uzandiki
Kumbuka aliwahi kuwa huko. Akikubandikia ya awali utaaminia? Au wasanii wa photoshop wafanye yao.apige picha kwenye bango la hospitali ili watu waendelee na shughuli zingine. ebo
watu watulie basi kama kadanganya au hajadanganya atajua mwenyeweKumbuka aliwahi kuwa huko. Akikubandikia ya awali utaaminia? Au wasanii wa photoshop wafanye yao.