Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Kuna baadhi ya dawa huwa zinakuwa injected kwenye artery so huo uelekeo wa cannula ni uelekeo wa arteries! Hii msimhukum moja kwa moja kuwa uelekeo wa cannula umeenda upande tofauti!
Ausio... So kama ni artery means dawa inaenda mahali flanii hairudi tena kwenye moyo ianze kusambaa... Hapo inaelekea kwenye kuchaa na vidolee so unataka niamini mkono ndo una tatizo??
 
Mengine muwe mnaelewa tu;
Hivi kweli mguu huna akili itakuwa sawa kweli?

Hizo sindano hazina drip bado;
ni kama yuko kwenye maandalizi ya kuwekewa drip;

All in all tujuwe tu kuwa anaumwa;
hata kama kaenda kwa witch doctor siye
hayatusumbui sana;

Sasa kuondoa hiyo picha inazaa maswali.
Kama akiwa sincere hana haja ya kuficha kitu!
 
Ssasa dawa ni kumsusa ***** zake aanazingua,maisha yakiwa magumu kilema aanatafutia hela kidonda alaf anakula bata kiulaini
 
Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu

Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule mzee namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
ID yako inatisha!! [emoji26]
 
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.

Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.

Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
7ee3a98444c55c205e7c5b117784799d.jpg
Kweli Falme ngumu hudondoshwa kilahisi na mwanamke , wastara kamtapeli raisi anaye bana matumizi na kuzuiya safali za nje , Teena kilahis tu
 
kama wasukuma ndio washamba basi ushamba wao wanaendesha nchi na wewe mjanja umenyooka na bado mshamba ataendelea kukuongoza huyo huyo msukuma ndio mkuu wako wa mkoa anaemsaidia baba yako kadhulumiwa ardhi huyo huyo unamwita mshamba kakuletea meli na madaktari wajomba zako wote wameenda kuchekiwa na kutibiwa wewe ndio mjaja kukaa kwenye kahawa
Haimaanishi kwamba wasukuma hamna mazuri,
Pamoja na hayo yote hajaacha asili ya kabila lake kwa ushamba na misifa ya kijinga hadi kutapeliwa kirahisiii namna hii...
 
Kuna baadhi ya dawa huwa zinakuwa injected kwenye artery so huo uelekeo wa cannula ni uelekeo wa arteries! Hii msimhukum moja kwa moja kuwa uelekeo wa cannula umeenda upande tofauti!

very rarely, dawa za Chemo, kuelekea kwenye liver cells specifically to kill tumorous liver tissue, na kunakuwa na wauguzi wana monitor the process closely, hawawezi kukuacha tu chumbani mwenyewe unajipiga mapicha wakati wa ku administer TACE, trans arterial chemo embolization. Sasa hapa Wastara anaingizwa dawa kwenye artery zinazoingia kwenye kucha, sijui mwenzetu ana saratani ya kucha?

in any event, hapa hakuna kesi kwa sababu kwenye maombi ya msaada hakumwambia Rais anataka kwenda kutibiwa, mkenge wa kupeleka hela kajiingiza mwenyewe, Wastara was very very purposefully vague, hakusema kabisa kwamba anakusanya hela ya kwenda kutibiwa, alisema anaumwa sana, ameshindwa kufanya kazi, anahitaji hela ya kula! Alipoona hela ya kula ghafla imekuwa matrilioni ikabidi sasa atafute safari ya hospitali, I mean, wewe ungefanyaje, ungerudisha hela?
 
Back
Top Bottom