Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Wastara kwani ni lazima kila ukifanyachoo ukianike mtandaoni acha ulimbukeni bana yaani ukinya unajipost ukijamba unapost kuwa basi bi dada kuna watu wanafanya yao kimya kimya
 
Tumuachie Mungu jamani, hamuwezi kujua, labda Daktari alikosea.
 
Namwonea huruma huyu dada kwa kweli!
Mola anihurumie!
 
Halafu alipewa kodi zetu na mkulu, au mkulu alitoa fedha zake binafsi kwenye akaunti yake au ni fedha za umma, dada zetu wa mjini hawa shida tupu, ushauri wangu atumie hizi fedha vizuri otherwise hatapata nyingine tena cuz huu ndio upigaji wake wa mwisho.
 
Kama washaonyesha nazi inadondoka chini ya mwembe unategemea nini?
Bongo movie nawakubali sana kuna moja Dereva kapigwa risasi ya kichwa akiwa kwenye mwendo wa kasi, akapaki gari vizuri ndio akafa
Yaani ujinga ujinga mpaka kwenye maisha halisi kama huyo Mama Cannula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…