Mkuu Ww unaona Hiyo mikono inafanana Hapo? Ni mikono ya mtu mweusi Hiyo?Hapo kuna nini, tunaomba maelelezo.
Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirikaBisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Wastara yeye hiyo cannula aliwyoweka mkononi inageukiaa kuelekea kwenye Vidolee akati Njia sahihi kabisa ilibidi Hicho kidude kigeukie upande mwingne kama haoo wengine... So kiufupii hakuma Hospital Duniani inaweza mwekea drip mtu kwa njia hiyoooHapo kuna nini, tunaomba maelelezo.
Mkui Drip huwa HAIWEKWIIII HIVYOOO MAHALI POPOTE DUNIANI...!! Sasa ukiweka hiyo cannula kuelekea kwenye vidolee ina maana dawaa iende kwenye Vidole na kucha au???Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Mie hata sielewi,Ndo uonee hizo picha sasa afu ujipe.jibu
Anazinguaa sanaa...alafu zile pichaa akafutaa baada ya Mange kumchambaa na kumwambia ukweli... Wastara anaweza kuigiza Kifo aiseee nimekubaliHiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika
Anagalia ya wastara ilipogeukia... Alafu angalia zingine zotee zilipogeukiaa!!! Kwa hiyo wastar hapaa katuibiaa hakuna cannula inwekwa ielekee kwenye vidoleeMie hata sielewi,
Sijawahi kuumwa nikawekewa hiyo cannula
Hivyo najaribu kuangalia sioni tatizo
Hahhaa kweli dada bongo movieAnagalia ya wastara ilipogeukia... Alafu angalia zingine zotee zilipogeukiaa!!! Kwa hiyo wastar hapaa katuibiaa hakuna cannula inwekwa ielekee kwenye vidolee
Halafu atasababisha wengine washindwe pata msaada sabb yake!Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu
Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vile
In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
Ni mtu wakutafuta sympathy daily utafikiri yy ndio wa kwanza kupata matatzoHuyu mwanamke kila ninapomuona kwny picha huwa anakuwa analia, Ana matatizo gani? Hivi yy Ndio wa kwanza kupata Ajali na kuumia?
Huwa analilia nn haswa?