Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Stupidity at its best.Hellow
Mimi nataka kufahamu kuna ukweli ndani yake wanaposeMa kuna watu wanaloga mvua isinyeshe na kama kweli for which purpose? I want to know how
Flying fish au castleTunyweni bia jaman
Sasa mbona watu wanasema labda wakulima wa chumvi wanakoga mvua means kuna ushaid ndani yake au ndio bad attitudeStupidity at its best.
Kiimani, mvua inatoka kwa Mungu. Ili isinyeshe basi mhusika amloge Mungu. Na kama yupo basi ni Mungu mwenyewe huyo.
Kisayansi ni dhania nyingine. Ambapo sidhani kama kuna sayansi ya kiuchawi inayoweza kwenda kutenganisha mawingu yaiyojikusanya kwa ajili ya kunyesha.
Sijui ndio nataka kujuaMvua inazuilika
Kuna namna za kiasili za kufanya ili kuzuia.namuuliza bibi kisha ntarejea.Japo vitu hivi huwa siri sana.Sijui ndio nataka kujua
Mimi nashindwa kuelewaga kabisa kuna chuma ulete mmoja nilikuwa namjua kabisa siku moja aligandishwa dukani ilikuwa iabuWakiweza kuloga kumtoa ELON MUSK pale juu wakakaa wazee wa katavi ndio siku nitaamini uchawi upo
Yalikuws maigizo mkuuMimi nashindwa kuelewaga kabisa kuna chuma ulete mmoja nilikuwa namjua kabisa siku moja aligandishwa dukani ilikuwa iabu
Usichelewe sassaoKuna namna za kiasili za kufanya ili kuzuia.namuuliza bibi kisha ntarejea.Japo vitu hivi huwa siri sana.
sasa nilikuwa najiuliza kilicho mgamdisha ni nini? Sijui wakataka kumpigaYalikuws maigizo mkuu
NtarudiUsichelewe sassao
sasa nilikuwa najiuliza kilicho mgamdisha ni nini? Sijui wakataka kumpiga
Wanazuia kwa upanga wenye kishikio chekundu, kwa kunyooshea mawingu na kutamka maneno maalumu. It's real bad.Sijui ndio nataka kujua
Ndio hao haoUnazungumzia hao wanaozuia mvua kiangazi?
Ushwai shuhudia ilo?Wanazuia kwa upanga wenye kishikio chekundu, kwa kunyooshea mawingu na kutamka maneno maalumu. It's real bad.
Na kuileta wanaokota mawe meusi ya milimani wanaandika herufi maalum wanaliacha jiwe hilo mlimani wanashuka haraka sana mvua inamwagika ghafla.Ushwai shuhudia ilo?
Kigoma ,Sumbawanga , Singida na taboraHello,
Mimi nataka kufahamu kuna ukweli ndani yake wanaposema kuna watu wanaloga mvua isinyeshe, na kama kweli for which purpose?
I want to know how.