Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Castle lager, flying fish ni ya kike hiyo.Flying fish au castle
Castle lager, flying fish ni ya kike hiyo.Flying fish au castle
Tunywe BiaTunyweni bia jaman
Kuna jamii fulani kabila sitaji, wao huchukua majani fulani ya asili ya ukoka sitayataja.Kisha huchukua mchi wa kutwangia nafaka au dawa au kisamvu na mboga nyinginezo.kama unavyoona taji ya miba aliyovikwa kristu hutengeneza kiduara mfano kama ule kwa kupimia kipenyo cha mchi.Kisha huuvika juu ya mchi.Halafu mtu mdogo kiumri kuliko wote atatengenezewa kiduara cha kufikirika kivipimo atakuwa akiukita ule mchi huku akizungukA mtaalam wa kitiba au mizimu aatakuwepo akinuia maneno fulani.mvua itasimama na kama ni sherehe itaendelea kwa furaha.NOTE RADI ZITAKUWEPO ZA KUOGOFYA SANA.mwisho wa taarifa.Hello,
Mimi nataka kufahamu kuna ukweli ndani yake wanaposema kuna watu wanaloga mvua isinyeshe, na kama kweli for which purpose?
I want to know how.
Mungu anakaa na mvua sebuleni hadi itoke kwake.Licha ya kukariri mvua inatoka kwa mungu atakuja hapa na kisomo chake akituambia tusikate miti ovyo.sasa sijui miti nayo ni mungu.Usilolijua ni usiku wa giza kutoamini kwako imani za asili na nguvu zake hakufanyi ushirikina usimame.
Watu wanaroga na mvua haitokei ng'oo
Na pia watu kwa imani hizohizo za ovyo wanaloga na mvua inamwagika km bahari..
Simba timu ni mojawapo ya wakali wa hizi kazi na gwiji wao ni marehemu Amiri Alli Bamchawi.Usilolijua ni usiku wa giza kutoamini kwako imani za asili na nguvu zake hakufanyi ushirikina usimame.
Watu wanaroga na mvua haitokei ng'oo
Na pia watu kwa imani hizohizo za ovyo wanaloga na mvua inamwagika km bahari..
Mmh na ukitaka inyesheKuna jamii fulani kabila sitaji, wao huchukua majani fulani ya asili ya ukoka sitayataja.Kisha huchukua mchi wa kutwangia nafaka au dawa au kisamvu na mboga nyinginezo.kama unavyoona taji ya miba aliyovikwa kristu hutengeneza kiduara mfano kama ule kwa kupimia kipenyo cha mchi.Kisha huuvika juu ya mchi.Halafu mtu mdogo kiumri kuliko wote atatengenezewa kiduara cha kufikirika kivipimo atakuwa akiukita ule mchi huku akizungukA mtaalam wa kitiba au mizimu aatakuwepo akinuia maneno fulani.mvua itasimama na kama ni sherehe itaendelea kwa furaha.NOTE RADI ZITAKUWEPO ZA KUOGOFYA SANA.mwisho wa taarifa.
Ukukimbia kweliNimewahi kuona
Wa kwanza ni Mbibi alikuwa amepanda Juu ya nyumba yake anaezeka nyasi, wale waliokulia Vijijini wanafahamu nyumba za nyasi.
Mvua inayesha Kubwa lakini kwenye nyumba ya huyo Bibi hata tone hainyeshi huku Bibi amepanda Juu ya nyumba anaezeka nyasi zake.
Mara ya pili niliona Kuna Babu alikuwa anatembea huku mvua inanyesha Kubwa tu lakini Babu alikuwa hajanyeshewa hata tone Moja na hajabeba mwamvuli.
Unapoamini kuloga sema unaamanisha wanaingilia process gani je ni evaporation au condensation au precipitation..wanaloga sehemu gn haswa?Una maanisha nini?
Hiyo ya kwanza tulikimbia, manake tulikuwa kikundi alafu Vijana wadogo.Ukukimbia kweli
👍Unapoamini kuloga sema unaamanisha wanaingilia process gani je ni evaporation au condensation au precipitation..wanaloga sehemu gn haswa?
Dah kuna maajabu dunianHiyo ya kwanza tulikimbia, manake tulikuwa kikundi alafu Vijana wadogo.
Ninachokumbuka kabla hajafanya hivyo, alivua nguo zake nyeusi na aliinama huku makalio yake kayaelekeza Juu mawinguni.
Hiyo ya pili ilinikuta na drive, nikiwa mtu mzima so sikuogopa
Sana Mkuu, ila bahati mbaya wengi huwa na maisha ya kubahatisha Sana sijui kwaniniDah kuna maajabu dunian
Hiyo ipo Sana Mkoa wa Katavi na Rukwa, mtu anakutengenezea radi la elfu 20 la kuua watu 3,5 hata 10 akitakaKama mtu anaweza kutengeneza kifurushi Cha radi na akakituma kumuangamiza adui Yake Sasa atashindwaje kuzuia mvua isinyeshe
Hiyo ipo Sana Mkoa wa Katavi na Rukwa, mtu anakutengenezea radi la elfu 20 la kuua watu 3,5 hata 10 akitaka
Inaonyesha huyo bado bwana mdogo hajaona mengiUsilolijua ni usiku wa giza kutoamini kwako imani za asili na nguvu zake hakufanyi ushirikina usimame.
Watu wanaroga na mvua haitokei ng'oo
Na pia watu kwa imani hizohizo za ovyo wanaloga na mvua inamwagika km bahari..
Hizi ni elimu za kale za hatari kwa sasa zimezuiliwa ispokuwa wachache sana wamebaki nazo.Duh nataman kuona
Nankazuia?Hizi ni elimu za kale za hatari kwa sasa zimezuiliwa ispokuwa wachache sana wamebaki nazo.