UUliona wapi Mzanzibar mwenye akili?Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama vya Watanganyika!
Iko hivyo aisee! Nadhani umejifunza kitu.Kwakweli hiki ni kitu kipya kwangu!
Wazanzibar hawana vichogo sababu ya asili Yao ya uajemi,Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama vya Watanganyika!
Huu ni ubaguzi, nchi hii hakuna group of people waliofanikiwa kushinda wapemba, sio wachaga si wakinga, long before wametoka nje ya nchi, wapo Congo, Zambia na East Africa yote, wameunda Kilwa empire, wameunda Zanzibar Empire, Ukija kkoo investments kubwa zote ni zao kawaida kukuta mpemba ana Ghorofa 10-20 Hapa kkoo. Wapo wangapi? Kakisiwa kadogo kama watu laki 5 tu,UUliona wapi Mzanzibar mwenye akili?
Mmhh watanganyika tukienda ZENJI tunaitwa VICHOGO au WANYAMWEZI ,ni kama sisi mzanzibar akija bara sisi tunageneralize ni MPEMBA.Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama vya Watanganyika!
Hii concept ya kwamba wazanzibar wamechanganyika na waarabu ni stori tu, Waarabu wamekuja kuendeleza ilipoishia kilwa empire baada ya wareno kuvamia, wazanzibari wenyewe asili Yao ni washirazi Ambao wapo toka around Karne ya 8.Waajemi hawana machogo makubwa?
Halafu mbona Wazanzibar wengi wana mchanganyiko na Waarabu hasa wa Oman na sio hata Waajemi?
Sijajua mkuuKuna wengine wanatafuta kitu kama pipe (plastiki) ndogo wanakichoga kimtindo, halafu wanaingiza pua ya mtoto mdogo kwenye hiyo bomba ili mtoto awe na pua kama ya mzungu.
Ajabu ni kwamba hii mbinu inafanya kazi, maana kuna mtoto ambaye alikuwa na pua kubwa kama ya Jonas Savimbi, lakini baada ya kufanyiwa mchakato huu sasa ana pua kama Benjamin Netanyahu, nilishangaa sana aisee!
Seran,
leo dada,
Mallerina,
Yoda,
Dr am 4 real PhD, mnaijua hii?
Mambo ya ajabu kabisa!Iko hivyo aisee! Nadhani umejifunza kitu.
Naijua kwa namna nyingine.Kuna wengine wanatafuta kitu kama pipe (plastiki) ndogo wanakichoga kimtindo, halafu wanaingiza pua ya mtoto mdogo kwenye hiyo bomba ili mtoto awe na pua kama ya mzungu.
Ajabu ni kwamba hii mbinu inafanya kazi, maana kuna mtoto ambaye alikuwa na pua kubwa kama ya Jonas Savimbi, lakini baada ya kufanyiwa mchakato huu sasa ana pua kama Benjamin Netanyahu, nilishangaa sana aisee!
Seran,
leo dada,
Mallerina,
Yoda,
Dr am 4 real PhD, mnaijua hii?
Watu ni wahuni sana, hata wamasai kuna namna wanafanya ili wawe wembamba.Sijajua mkuu
HakunaHakuna Wazanzibar unaowajua hadi upewe picha zao??
Sana!Mambo ya ajabu kabisa!
Hili ni geni kwangu, hebu kama hutajali fafanua kidogo.Naijua kwa namna nyingine.
unatumia sindano ya kushonea kutengeza pua
au unatumia mate kila siku asubuhi.
Sindano ya kushonea unakuwa uishusha kama unachora mstari huku unavuta pua kidogo matokeo yake unapta pua kama ya Mariah Carey, pia ukitaka shepu zinatengenezwa na vidole piaHili ni geni kwangu, hebu kama hutajali fafanua kidogo.
Aise kumbe ninyi watu creative sana.Sindano ya kushonea unakuwa uishusha kama unachora mstari huku unavuta pua kidogo matokeo yake unapta pua kama ya Mariah Carey, pia ukitaka shepherd zinatengenezwa na vidole pia
Sema kweliWatu ni wahuni sana, hata wamasai kuna namna wanafanya ili wawe wembamba.
Watu wamechanganyikiwa tangu kitambo.Sema kweli
Noma sanaWatu wamechanganyikiwa tangu kitambo.