Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Status
Not open for further replies.
JPM mpe uyu binti hata ukuu wa Wilaya aseeee maana nahisi ana nguvu sana akiwa na mimba ni habari,imetoka habari kubwa,kaachwa ni habari,kapata bwana mpya habari nyingine naona wa Tz ndio uwezo wetu wa kufikiri umefikia hapa mpe Wilaya tena hapo hapo Dar atahamasisha sana maendeleo maana siku akiokota takataka basi jiji lote litafata kuna wasanii wamefiwa na waume/wake na wazazi kimya ila uyu ndezi imetoka mimba kidogo kuwe na matanga kwenye social networks khaaaaas JPM fanya fikra mtumie uyu binti.
 
Kha bandika bandua
 
Wemaaaaaa is dampppppppppppp hafai anahitaji maombezi.....na hata hakua na mimba..... Ivi À R V hazimuhusu kweli huyu...au ngoma inachagua warembo hawapatii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…