Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Status
Not open for further replies.
Jamani msimguse Wema.
Mwacheni ana machungu ya kufiwa.
Mwacheni kidogo....
WTF!!!
Machungu ya kufiwa na nini haswa?We uliona wapi mtu mimba inatoka asubuhi jioni yupo club anasherehekea kama hana akili nzuri vile?Naanza kuwa na wasiwasi kama kweli hata hiyo mimba alikua nayo.Huenda hata lile ndambi lilikua la ugali maharage na pombe za bure tukajua mimba.Akwendreee kule
 
Habarini.....

Leo insta naona kuna Maneno yanaendelea chini chini kubwa Bi dada wetu Wema Isack Sepetu sasa Amehamishia penzi kwa Mcongo Man anae itwa APOCALYPSEBELLA Millionea Mmoja ambae ameingia Mjini Siku za hivi Karibuni

Picha zimeanza kuzagaa chini chini zikionesha Wema akiwa na Huyo mkongo ambae amefikia hoteli fulani kubwa hapa Dar!

Katika ukurasa wake wa insta Apocalypsebella amempost Wema akionesha ni Sweartheart wake!

Huku wema Machungu ya Mimba kutoka yakiwa hayajaisha leo anakula bata na kumsahahu kijana wetu Idrissa ambae amekuwa akipambana na watu kuhakikisha kuwa Wema hashambuliwi kwa maneno na kuonesha kuwa akimpenda sana! Watu wamevapia page ya idrissa na kumpa pole sana hadi idrissa kupanic!

Kikubwa watu wanacho mshauri wema ni kuwa awe Makini maana inasemekana Mkongo anatabia Ambayo sio nzuri hasa za kuchukua video wakati akiwa ana s.x na mtu!

Amaa kweli Wema ni sikio La kufa
Halisikii dawa
 
Wema tatizo hana akili,alitakiwa afanye investment mpaka leo hata nyumba hana;pamoja na kugawa kwa wenye mapesa yao:Amekalia moet tu basi

Akili Hamna kitu pale isitoshe Company zake ni bata tu mim namjua mtu anakuwa na mafanikio endapo company yake iko postive lakin kama ni kuwaza bata na dydy lol hakuna kitu
 
Hii movie,ni ndefu kweli. Huyu wema angekuwa mbali kimaisha ,ila ndio hivyo sikio la kufa
 
Hii movie,ni ndefu kweli. Huyu wema angekuwa mbali kimaisha ,ila ndio hivyo sikio la kufa
sasa yeye anashindia kutapika kisamvu tu. hapa tatizo linaanzia kwa meneja wake kuwa naye amefeli
 
Mkuu tupiamo na picha basi tuthaminishe kama mcongo anafaa kwa matumizi ya binadamu au laa
Screenshot_2016-02-20-15-56-58.png
Screenshot_2016-02-20-15-57-29.png
 
Habarini.....

Leo insta naona kuna Maneno yanaendelea chini chini kubwa Bi dada wetu Wema Isack Sepetu sasa Amehamishia penzi kwa Mcongo Man anae itwa APOCALYPSEBELLA Millionea Mmoja ambae ameingia Mjini Siku za hivi Karibuni

Picha zimeanza kuzagaa chini chini zikionesha Wema akiwa na Huyo mkongo ambae amefikia hoteli fulani kubwa hapa Dar!

Katika ukurasa wake wa insta Apocalypsebella amempost Wema akionesha ni Sweartheart wake!

Huku wema Machungu ya Mimba kutoka yakiwa hayajaisha leo anakula bata na kumsahahu kijana wetu Idrissa ambae amekuwa akipambana na watu kuhakikisha kuwa Wema hashambuliwi kwa maneno na kuonesha kuwa akimpenda sana! Watu wamevapia page ya idrissa na kumpa pole sana hadi idrissa kupanic!

Kikubwa watu wanacho mshauri wema ni kuwa awe Makini maana inasemekana Mkongo anatabia Ambayo sio nzuri hasa za kuchukua video wakati akiwa ana s.x na mtu!

Amaa kweli Wema ni sikio La kufa
Huyu mwanamke analitumia vibaya sana hekalu la bwana,eeeh Mungu tetea hekalu lako!
 
ex wa hudda ana bunyua kahaba la nchi timu yake wata ji murder ofisi yake haikauki wateja demu lina nyota ya mshedede tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom