Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Status
Not open for further replies.
Dooh binamu hunishindi mie jamani!!! Sijui nianzie wapi aisee.... Nina rundo la manewsss kwaajili yako...

Upo poaaa? Mi nisharejea bongoland!!!
ahahah!! aiseh hizo news inabid tutafutane chemba binamu, sio kwa kuadimika huko
 
umeona caption za huddah na idris? uwiii mambo moto binamu, mujini sihami asieeh
Binamu hebu nieleweshe huu umbea angekuwepo nifah angenifafanulia sema nene yupo kwenye kampeni ya mcongo bring back our wema ha ha ha
Hilo danga ni la hudda au? Make kuna siku alilipost, mara leo kaandika alimuacha, mara wapo wote Regency hebu nieleweshe huu ubuyu
Cc Ms.Lincoln
Madame B wasalimie dubai
 
Alichopewa na Mungu bure... nae anakitumia ipasavyo...
 
Dr. Mwezi ilinipita inamaanisha nini?

1456000170233.jpg
 
Machungu ya kufiwa na nini haswa?We uliona wapi mtu mimba inatoka asubuhi jioni yupo club anasherehekea kama hana akili nzuri vile?Naanza kuwa na wasiwasi kama kweli hata hiyo mimba alikua nayo.Huenda hata lile ndambi lilikua la ugali maharage na pombe za bure tukajua mimba.Akwendreee kule
mda c mrefu atakua chizi mana nganda inampeleka....huwezi fanya hayo afanyayo kma sio mtambo
 
Ni vizuri Wema kutumika tena na hao wanaojitengenezea majina kusaka pesa Mcongo na Huddah. Analo khaaa lazima alie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom