Ni kweli Yanga wanamwacha Moloko? Simba mchukueni akiachwa

Pale Yanga......Hakuna mchezaji hata Mmoja anayeweza Kuja Simba na Akapata namba...!

Huu ni ukweli,Japo kwa Wana Utopolo unaumiza...

Kuchezea Timu yenye Ubora Mkubwa namba 7 Afrika kama Simba Sio Jambo dogo
Comment ya kipuuzi kabisa kuanzia 2024.

Diara, Yao, Lomalisa, Aucho, Azizi Ki, Max, Pacome hawa wote wanakosa namba wakiingia Simba?
 
Pale Yanga......Hakuna mchezaji hata Mmoja anayeweza Kuja Simba na Akapata namba...!

Huu ni ukweli,Japo kwa Wana Utopolo unaumiza...

Kuchezea Timu yenye Ubora Mkubwa namba 7 Afrika kama Simba Sio Jambo dogo
1-5
 
Back
Top Bottom