Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Kamchukueni ata kesho tutawapa bureKama kweli Yanga wanania ya kumwacha Moloko basi heri Simba wamchukue, kwanza tumeona kiwango chake na tunaijua,halafu bado mdogo sema tu hapewi tu nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app