Ni kweli Yanga wanamwacha Moloko? Simba mchukueni akiachwa

😅😅😅 utombile mwakarobo!, Kuna timu au shabiki anaweza kuumia moloko akiachwa?. Mchezaji wa hovyoo winga Hana plani zaidi ya kukimbiakimbia... Hebu wahi airport kabla hajafika Congo.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] utombile mwakarobo!, Kuna timu au shabiki anaweza kuumia moloko akiachwa?. Mchezaji wa hovyoo winga Hana plani zaidi ya kukimbiakimbia... Hebu wahi airport kabla hajafika Congo.
Mlimsufu sana leo hamumtaki.

Kweli gonhowazi mna tabu sana
 
Pale Yanga......Hakuna mchezaji hata Mmoja anayeweza Kuja Simba na Akapata namba...!

Huu ni ukweli,Japo kwa Wana Utopolo unaumiza...

Kuchezea Timu yenye Ubora Mkubwa namba 7 Afrika kama Simba Sio Jambo dogo
 
Moja ya comment za kipuuzi kabisa....

Mpira ni ushabiki ila usijivue akili kiasi hiko
 
Sure yaan hapa gamond akianza kupanga kikosi chake kwenye ligi na club bingwa..mashabiki tutaacha midomo,maana kafanya rotation lkn wachezaji wenyewe hamna ki2.mauya,moloko,ngushi hamna kitu hata badala ya kupewa nafasi ambayo pengine walikuwa wanatakiwa kujithibitisha lkn kiko wap
Sio Moloko tu waje wamchukue na Mauya na Ngushi atakua kifungashio
 
[emoji28][emoji28][emoji28] utombile mwakarobo!, Kuna timu au shabiki anaweza kuumia moloko akiachwa?. Mchezaji wa hovyoo winga Hana plani zaidi ya kukimbiakimbia... Hebu wahi airport kabla hajafika Congo.
Vipi mlipanda boti ya saa ngapi kurudi bara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale Yanga......Hakuna mchezaji hata Mmoja anayeweza Kuja Simba na Akapata namba...!

Huu ni ukweli,Japo kwa Wana Utopolo unaumiza...

Kuchezea Timu yenye Ubora Mkubwa namba 7 Afrika kama Simba Sio Jambo dogo
Nyie ndio mnatufanya tuitwe mbumbumbu, ina maana Diarra, Baca, Aucho, Pacome, Aziz K , Yao kwasi hawawezi kucheza Simba?
 
Pale Yanga......Hakuna mchezaji hata Mmoja anayeweza Kuja Simba na Akapata namba...!

Huu ni ukweli,Japo kwa Wana Utopolo unaumiza...

Kuchezea Timu yenye Ubora Mkubwa namba 7 Afrika kama Simba Sio Jambo dogo
Hii hii Simba inayosajiri wachezaji lonyalonya waliochwa na timu🤣🤣 miez 6 mchezaji yupo nyumbani.
 
Back
Top Bottom