Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?

Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?

Mwacheni avute, hayo maisha amechagua mwenyewe.

Akijisikia kuacha atapelekwa sober house akaponee huko.

Akigoma tusubiri afe, tumzike, maisha yaendelee.
Hiyo "tusubiri afe" Kama ww ndo mtoa roho , hatujui siku wala SAA kwahiyo hiyo "Tu" itoe
 
1473539241491.png

Kwa picha hii sidhani Kama ni kweli au hayo madawa yana Vitamin
 
Haya madawa mbona kila siku watu wanahubiri yana madhara lakini hawaachi kuyatumia
2061_image_140104.jpg
 
Aristotle.. Gari umeliwasha eeeh [emoji343] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji442]
 
Inaezekana ikawa kweli,maana wanaanzaga kama tetesi halafu mwisho wa siku inakuwa kweli
 
Back
Top Bottom