REFA WA JF
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 141
- 317
usiwe na wasiwasi mjuba, maadamu mbunye zipo tutapata watoto tu hata kama tunaishi kibachela, ngoja tuzichape mbususu kisawasawa magetoni mwetuLengo kuu la mwanadamu kuwa dunia ni kuendeleza uzao wa mungu na kumtukuza.sasa ukiwa bachela ww ni sawasawa na mkuyu usiozaa matunda hauna faida. na badala yake unafaa ukatwe maana hauna faida duniani.mwanaume bila watoto ni sawasawa na mti uliokauka.
Sio kweli....Lengo kuu la mwanadamu kuwa dunia ni kuendeleza uzao wa mungu na kumtukuza.sasa ukiwa bachela ww ni sawasawa na mkuyu usiozaa matunda hauna faida. na badala yake unafaa ukatwe maana hauna faida duniani.mwanaume bila watoto ni sawasawa na mti uliokauka.
Hakuwa na mtoto...Huyo yesu alikuwa na watoto wangapi..? (Siyo kejeli)
HUJUI UNACHOSEMA. MUNGU AKUREHEMU.Lengo kuu la mwanadamu kuwa dunia ni kuendeleza uzao wa mungu na kumtukuza.sasa ukiwa bachela ww ni sawasawa na mkuyu usiozaa matunda hauna faida. na badala yake unafaa ukatwe maana hauna faida duniani.mwanaume bila watoto ni sawasawa na mti uliokauka.
mwanaume anazaa, mwanamke hujifungua.Kutozalisha,
Mwanaume hazai
Unawatukana mapadri na maaskofu wa kanisa Catholic (RC)Na ukifa wanakuchomeka gunzi makalion au mjusi ili kuzuia laana kwenye familia
Waislamu, Wabudha na Wahindu hawaamini bibliamwanaume anazaa, mwanamke hujifungua.
Adamu akamzaa Sethi, ... Ibrahimu akamzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, ...