Ni laana kubwa kwa mwanaume kutozaa mtoto dunian.

Ni laana kubwa kwa mwanaume kutozaa mtoto dunian.

Lengo kuu la mwanadamu kuwa dunia ni kuendeleza uzao wa mungu na kumtukuza.sasa ukiwa bachela ww ni sawasawa na mkuyu usiozaa matunda hauna faida. na badala yake unafaa ukatwe maana hauna faida duniani.mwanaume bila watoto ni sawasawa na mti uliokauka.
Mkuyu usiozaa unatumika kwa kivuli, tunahitaji miti duniani kwa ajili ya kivuli zaidi
 
Sio kila kitu unachowaza lazima uanzishe mada. Hiki ulichoandika ni kibaya sana (1) unawapa watu wasio na watoto ugonjwa wa ki saikorojia (2) pili ni kama dhihaka na unakufulu ...
Labda nikuulize !! Vp wewe mwenye watoto kama ikitokea wengine wakawa makahaba na wengine majambazi wauaji ?? Harafu nije na mimi niandike walio zaa malaya na majambazi wanalaana ???

Ziko changamoto nyingi tu labda kiafya ,ajari nk zilisababisha watu kukosa uzazi .naweza kusema umewaza uharoooo sana
Bado hajakomaa kiakili huyo hajawahi kuona watu wamezaa watoto wanne wanalea na kuwakuza kisha watoto wote wanakufa kwa ajali ya siku 1.
Kuna vitu vya kuwadhihaki watu kama uvivu,uchafu nk ila sio kuingilia vitu ambavyo ni mipango ya Mungu hiyo inakuwa ni utaahira
 
Lengo kuu la mwanadamu kuwa dunia ni kuendeleza uzao wa mungu na kumtukuza.sasa ukiwa bachela ww ni sawasawa na mkuyu usiozaa matunda hauna faida. na badala yake unafaa ukatwe maana hauna faida duniani.mwanaume bila watoto ni sawasawa na mti uliokauka.
ok.🐒
 
Mtoto ni tunu Mkuu, kama upo naye shukuru M/Mungu na uendelee kumuombea Dua asikengeuke , usikejeri wengine wasiobarikiwa, mtoto kama Mali tu ukiwa nazo usimcheke asiyenazo

Anaweza akawa shoga, au msagaji so endeleza Dua M/Mungu aendelee kumlinda badala ya kutukana wasiokuwa na watoto
 
Lengo kuu la mwanadamu kuwa dunia ni kuendeleza uzao wa mungu na kumtukuza.sasa ukiwa bachela ww ni sawasawa na mkuyu usiozaa matunda hauna faida. na badala yake unafaa ukatwe maana hauna faida duniani.mwanaume bila watoto ni sawasawa na mti uliokauka.
Jesus mwenyewe hakuzaa ,Buddha hakuzaa .Wewe ni nani kenge mmoja kupangia watu maisha
 
Back
Top Bottom