Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Sio fact, ni story tu iliyoandikwa kwa sababu haiwezekani kuthibitisha.Biblia ikisema "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi."
hiyo sio fact, ni nini?
Sio fact, ni story tu iliyoandikwa kwa sababu haiwezekani kuthibitisha.Biblia ikisema "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi."
hiyo sio fact, ni nini?
Hakuna mwanaume aliyezaa hapo.mwanaume anazaa, mwanamke hujifungua.
Adamu akamzaa Sethi, ... Ibrahimu akamzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, ...
Kumuelewesha chizi itajipa taabuSio kila kitu unachowaza lazima uanzishe mada. Hiki ulichoandika ni kibaya sana (1) unawapa watu wasio na watoto ugonjwa wa ki saikorojia (2) pili ni kama dhihaka na unakufulu ...
Labda nikuulize !! Vp wewe mwenye watoto kama ikitokea wengine wakawa makahaba na wengine majambazi wauaji ?? Harafu nije na mimi niandike walio zaa malaya na majambazi wanalaana ???
Ziko changamoto nyingi tu labda kiafya ,ajari nk zilisababisha watu kukosa uzazi .naweza kusema umewaza uharoooo sana
Kwa hivyo basi kundi la hao waliolaaniwa/wajaa laana ya kutokuzaa na Messiah wako(Yesu) yumo.Lengo kuu la mwanadamu kuwa dunia ni kuendeleza uzao wa mungu na kumtukuza.sasa ukiwa bachela ww ni sawasawa na mkuyu usiozaa matunda hauna faida. na badala yake unafaa ukatwe maana hauna faida duniani.mwanaume bila watoto ni sawasawa na mti uliokauka.
mtoto wangu anaitwa jina langu (baba) means Mimi ndiye niliyemzaaHakuna mwanaume aliyezaa hapo.
Walipiga miti wakatia mimba mwanamke kazaa.
Mtoto ni wa Mama yake,we baba unaacha mbegu tu.
Atakupa akitaka atakunyima akipenda full stop.
Na mwanao anaweza kumkabidhi yoyote aliyempenda..
Mama alizaa wewe ulimtomba mamaake ukamkojolea akazaa.mtoto wangu anaitwa jina langu (baba) means Mimi ndiye niliyemzaa