Ni laana kubwa kwa mwanaume kutozaa mtoto dunian.

Mkuyu usiozaa unatumika kwa kivuli, tunahitaji miti duniani kwa ajili ya kivuli zaidi
 
Bado hajakomaa kiakili huyo hajawahi kuona watu wamezaa watoto wanne wanalea na kuwakuza kisha watoto wote wanakufa kwa ajali ya siku 1.
Kuna vitu vya kuwadhihaki watu kama uvivu,uchafu nk ila sio kuingilia vitu ambavyo ni mipango ya Mungu hiyo inakuwa ni utaahira
 
ok.🐒
 
Mtoto ni tunu Mkuu, kama upo naye shukuru M/Mungu na uendelee kumuombea Dua asikengeuke , usikejeri wengine wasiobarikiwa, mtoto kama Mali tu ukiwa nazo usimcheke asiyenazo

Anaweza akawa shoga, au msagaji so endeleza Dua M/Mungu aendelee kumlinda badala ya kutukana wasiokuwa na watoto
 
Jesus mwenyewe hakuzaa ,Buddha hakuzaa .Wewe ni nani kenge mmoja kupangia watu maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…