Ni laana kubwa kwa mwanaume kutozaa mtoto dunian.

Mtoto ni tunu au kama mali kivipi wakati 98% ya watu duniani wanaweza kupata watoto??
 
sawa ila mitume na manabii walipita na wengine hawakuwahi kuwa na watoto wala mtoto kwahyo na wao wana laana.....
 
Mawazo yako yamepitwa na wakati kabisa. Unawaza kuzaa tu wakati uchumi wenyewe unajua ulivyo mgumu. Ukishindwa kuwapa maisha mazuri hao watoto, hiyo laana uliyoisema itakuhusu wewe uliyewaleta duniani kuteseka.
 
📌
 
Halafu huyo mtoto ulienae sio wako umeuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Acha kuzua taharuki, kuzaa ni mipango ya Mungu. Kama hajataka huna la kufanya hivyo kuwa mpole
 
Mwanaume ukiwa na uwezo wa kusimamisha na kushughulika tu inatosha sana!

Maswala ya kuzalisha unaweza kusaidiwa!

Kikubwa inasimama tu...basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…