Ni laana kubwa kwa mwanaume kutozaa mtoto dunian.

mwanaume anazaa, mwanamke hujifungua.

Adamu akamzaa Sethi, ... Ibrahimu akamzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, ...
Hakuna mwanaume aliyezaa hapo.
Walipiga miti wakatia mimba mwanamke kazaa.
Mtoto ni wa Mama yake,we baba unaacha mbegu tu.
Atakupa akitaka atakunyima akipenda full stop.
Na mwanao anaweza kumkabidhi yoyote aliyempenda..
 
Kumuelewesha chizi itajipa taabu
 
Vp kama kila mwanamke nayempata ni mgumba?
 
Kwa hivyo basi kundi la hao waliolaaniwa/wajaa laana ya kutokuzaa na Messiah wako(Yesu) yumo.
 
Mfano mdogo tu, huyu mwanadansa Diamond kakataa babaake akapangwa eti babaake Ricardo ndio babaake yeye.
Kazama kingi anapigwa tu na zuwena mamaake wakishirikiana na fwala huyu..
Mzee wake analia tu kule kariakoo, hapewi senti kumi.
 
Hakuna mwanaume aliyezaa hapo.
Walipiga miti wakatia mimba mwanamke kazaa.
Mtoto ni wa Mama yake,we baba unaacha mbegu tu.
Atakupa akitaka atakunyima akipenda full stop.
Na mwanao anaweza kumkabidhi yoyote aliyempenda..
mtoto wangu anaitwa jina langu (baba) means Mimi ndiye niliyemzaa
 
mnatujazia watoto wa mitaani wapumbavu nyie mnatatombatomba hovyo wakati hata hamuwezi kulea
 
mtoto wangu anaitwa jina langu (baba) means Mimi ndiye niliyemzaa
Mama alizaa wewe ulimtomba mamaake ukamkojolea akazaa.
Mbona ni wagumu sana kuelewa?
We ulitanuka pale mapaja kufanya kile kichanga kitoke?
Kichwa, miguu, na Mavi yote tumboni.
Ushawai ona mtoto anapozaliwa toka kwa mamaake?
Au ulikua unalewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…