Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
mwenyeji watanga? dada shadiyatun Shadeeya ?Poa kabisa.
mwenyeji watanga? dada shadiyatun Shadeeya ?Poa kabisa.
Kabla sijakujibu Mkuu ngoja nimuite mwanasheria wangu kwanza. 🤣🤣mwenyeji watanga? dada shadiyatun Shadeeya ?
Kabla sijakujibu Mkuu ngoja nimuite mwanasheria wangu kwanza.
Sio Mtanga wa kuchovya, ni mtoto wa Kitanga OG kabisaaaa....kule mapenzi yalippanzia, mapishi yanapokolezwa na lughainayotoka kwenye ulimi laiiiini yenye matamshi mataam ya kuubembeleza😜
Hahahaaa! Ila Ses. 🤣🤣Sio Mtanga wa kuchovya, ni mtoto wa Kitanga OG kabisaaaa....kule mapenzi yalippanzia, mapishi yanapokolezwa na lughainayotoka kwenye ulimi laiiiini yenye matamshi mataam ya kuubembeleza😜
Ushaongeza siku za kuishi ujue, miaka 10🤣
Kabisa yaani.Ushaongeza siku za kuishi ujue, miaka 10🤣
Mke mkubwa😁Huwa nafurahia sanaa kuwasikiliza wasukuma wakiongea. Kwangu ni burudani tosha.
Hebu kikandamize mama😂Mke mkubwa😁
OGophaaa!!🤣👋🏼Hebu kikandamize mama😂