Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Mabwaku, ndo mdudu gani huyo w fala😹😹😹😹😹😹😹😹
Mabwaku, kucrushiana tena?
Mi napoteza mawazo ya mkopo wa bank hapa wala sina crush humu..!! 😹
Mabwaku, ndo mdudu gani huyo w fala😹😹😹😹😹😹😹😹
Mabwaku, kucrushiana tena?
Mi napoteza mawazo ya mkopo wa bank hapa wala sina crush humu..!! 😹
Huu uandishi wako unaonyesha hata wewe ni mruga ruga sanaaiseh nilivyoingia ARUSHA RADIO ZOTE WANAONGEA KW RAFUDHI ZA WACHAGA MIAKA HIYO HAPO BADO HUJAINGIA KILIMANJARO.USHAMBA MTUPU WA MOROMBO
Tusalimie chukwani huko swahiba 😃Hahahaaa! Swahiba naona umeamua kutupakulia minyama. 😅
ZImefika Swahiba.Tusalimie chukwani huko swahiba 😃
Shadeeya mambo?ZImefika Swahiba.
Kichaga.Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania, japo kuna makabila hayana lafudhi?
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga, umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Wadigo namba mojaUngeweka na sampuli za audio za kila kabila.
Baada ya hapo wote tutakubaliana kwamba WADADA WA KIDIGO wameshinda.