Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

We pingu Kweli, Mm nataka niwekeze sio nije nianze kuzurura kama mbuzi
Wee kibuyu kweli, kuna biashara isiyowekezwa? Au wewe kwako ukisikia biashara ni kuzurura??

Kawekeze kwenye bond za serikali au real estate, ushazoea salary every month huku utalia. 😹😹

Huku hakuna kujilipa salary kuna madeni na mikopo..!! Tulia Ngosha hatutaki kusikia vilio 😹
 
Lafudhi ya fokov fokov fokov fokov fokov, yaani Ile sauti niisikiayo nikiwa namdinya wife ndiyo lafudhi pekee niipendayo.

Ile ndo click sound bhana!
 
Back
Top Bottom