Kuna limoja naenda kuuliza simu likasema eti umependeza hii saa, bei gani.. Na yana piga make up yale hadi jauLazima uchukie si tunawapiga bei washamba washamba 😹😹😹
Nyanokwebe😂😂Acha kisirani ngosha, hujala michembe leo? 😹😹
hilo swali waulize vichogo wenzako 😁fanya kunipa tuache maneno mengiNikikupea utawezana? 😹
🤣😂Ningekukosa hapa ningeshangaa sana 😹😹
Mtaalamu wa sauti za chumbani..!!
Oyaa unapiga issue gani nataka niingie kwenye business mazima, kazi za kuajiriwa jau..Lazima uchukie si tunawapiga bei washamba washamba 😹😹😹
Kojani kuwa elewa ni ngumu,Sahihi, niliwahi ishi na wakojani, kuwaelewa ni mbinde.. watu wa unguja pale ndio wana lafudhi nzuri..
Mkali wa hizi kazi wa kuitwa makaveli 😹😹
Tulia huko huko huku tunaishi watu wenye roho ya paka..!!Oyaa unapiga issue gani nataka niingie kwenye business mazima, kazi za kuajiriwa jau..
We bhana meyoo acha kujimwambafai hapa..!! 😹hilo swali waulize vichogo wenzako 😁fanya kunipa tuache maneno mengi
Mimi napenda lafudhi ya wapogoro wale wa ndani ndani huko.Napenda Lafudhi ya Wadudu wa Chuga.
Mwenyewe agolukundu 😹Nyanokwebe😂😂
Fungua pm basi mama la mama unioneshe Nyash ujue bila Nyash napata huzuni 🥲We bhana meyoo acha kujimwambafai hapa..!! 😹
Warangi wako vizuri, ile ongea yao ya kuvuta naipenda mnoWamasai na Warangi wananikosha sana, lafudhi zao kwa wanaoweza Kiswahili basi akiongea ni Kiswahili pure
Bila kutusahau wenye nchi WASUKUMA 😁😁😁Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE: