Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Hivi kuna wajuaji km nyie wasukuma?
Huku kkoo mkija kununua nguo mnasema (Nipe shati la maua la elfu 25) 😹😹

Hata kama shati linauzwa elfu 7 nyie mmekariri mlivyonunua kwa kudanganywa yana bei kubwa..!!

Halafu mkiona bustani ina maua mazuri tayari mnataka kupiga picha na pozi lenu la kukunja nne 🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
Hii ni bullying ya hali ya juu😆
Lamomy umekaririshwa na nini?
Au ndo stori za vijiweni unaleta hapa?

Ningekua karibu yako ninge kumamata makofi Shenjiii ghette😆
 
Umenyoa kwanza kabla ya kupita uchi? 😹😹
Sio nakubembeleza halafu ukapita ukatisha waungwana..!!
Hizi ni natural hair hamna haja ya kunyoa 😀 labda kama unanipa ndio ntanyoa
 
Hii ni bullying ya hali ya juu😆
Lamomy umekaririshwa na nini?
Au ndo stori za vijiweni unaleta hapa?

Ningekua karibu yako ninge kumamata makofi Shenjiii ghette😆
Story wapi wakati nawaona huku 😹😹😹
 
Back
Top Bottom