Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Inategemea na maongezi, ya KITANDANI, OFISINI, UBISHANI, UGOMVI etc...

Mchaga anaposema YESU NA MARRIA🤣😂
wadada wa tanga, wale wa mombasa wanapozungumza wananivuruga akili kabisa..
Mwaka fulani nasoma pale DIT, Ilikuwa usiku lazima nikale mgahawa fulani pale kariakoo, tahmeed ile inashusha pale watu toka mombasa, vile wale wadada nikisikia wanazungumza, roho yangu inakuwa kwatu kabisa,

Mpogoro,mmakonde,mhehe, mnyakyusa akiongea mie huwa najisikia kucheka tu, na mhehe kwa mbaali..
Wazanzibar nao sauti lafudhi za dada zao zinavutia.
Wapemba wanakaza sana, na kuna maneno yao ni ya kipekee

Waha wao ni fujo tu, kelele mtinfo mmoja hata kama wanaongea stori za kawaida.
Wahaya ni lafudhi ya majivuno tu
Wasukuma/wanyamwezi lafudhi ya kiume na ushamba humo humo..
Wakurya, lafudhi ya ugomvi ugomvi tu
Ningekukosa hapa ningeshangaa sana 😹😹
Mtaalamu wa sauti za chumbani..!!
 
Ndio mi mmakonde we mkichogo
😹😹😹 Ndiomana unapenda kuchekeshwa..!!

Nasikia dada zako si haba kwenye kwichy, vipi upande wenu kaka zao?

Nijibu taratibu sijisikii vizuri leo..! 😹
 
😹😹😹 Ndiomana unapenda kuchekeshwa..!!

Nasikia dada zako si haba kwenye kwichy, vipi upande wenu kaka zao?

Nijibu taratibu sijisikii vizuri leo..! 😹
We madaqo kweli 🫵🫪
Wakaka ndio tuna nguvu ya ardhi lazima uiskilizie kwenye mizagamuo
 
We madaqo kweli 🫵🫪
Wakaka ndio tuna nguvu ya ardhi lazima uiskilizie kwenye mizagamuo
😹😹😹 Nyie mnalilia mapenzi bhana..!!
Role model wenu Konde boy kawawakilisha..!!

Jeshiiiiiiiiiiiii 😹
 
😹😹😹 Nyie mnalilia mapenzi bhana..!!
Role model wenu Konde boy kawawakilisha..!!

Jeshiiiiiiiiiiiii 😹
Jeshi kazi kukohokohoa show kali ndio maana unaona Kajala type shit anamrudia sijui unanielewa 😁
 
Jeshi kazi kukohokohoa show kali ndio maana unaona Kajala type shit anamrudia sijui unanielewa 😁
Thubutuuuu..!! 😹😹
Wamakonde wajinga kabisa, mshukuru dada zenu wanawawakilisha la sivyo mngeishia kuchonga vinyago Mwenge..!! 😹
 
Thubutuuuu..!! 😹😹
Wamakonde wajinga kabisa, mshukuru dada zenu wanawawakilisha la sivyo mngeishia kuchonga vinyago Mwenge..!! 😹
Aibu unaona wewe na kakabila kako unaogopa hata kukataja unajua viuno vigumu 🫵😁
 
Kwendraa ume copy, wasukuma hatunaga watu wajuaji juaji sisi
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Hivi kuna wajuaji km nyie wasukuma?
Huku kkoo mkija kununua nguo mnasema (Nipe shati la maua la elfu 25) 😹😹

Hata kama shati linauzwa elfu 7 nyie mmekariri mlivyonunua kwa kudanganywa yana bei kubwa..!!

Halafu mkiona bustani ina maua mazuri tayari mnataka kupiga picha na pozi lenu la kukunja nne 🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
 
Wadada wa Kilimanjaro wakiongea mimi hoi kabisa😅
 
Back
Top Bottom