Chizi Msomi
Senior Member
- Jun 23, 2026
- 140
- 272
- Thread starter
-
- #21
HAYA bwanaKwani mdau unafanya makusudi au?
Kwamba unataka kusema huoni kabisa kama unakosea unachokiandika?“RAFUDHI" hapo kwenye “RA” unashindwa nini kuweka “LA” isomeke “LAFUDHI”?
😁😁 Mimi piaHuwa nafurahia sanaa kuwasikiliza wasukuma wakiongea. Kwangu ni burudani tosha.
R zao zinavyotajwa aisee,Wachaga, ile confusion ya L/R huwa ina leta mvuto wa kipekee sana.
😁😁😁 una vituko sana mwenetu.Ya kabila lenu 🔥 Mpaji Mungu
Mimi napenda ya akina Mangi sababu wakiongea najiona kabisa napata supu au mtori huku nikiwa naisulubu mbege.Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
aiseh nilivyoingia ARUSHA RADIO ZOTE WANAONGEA KW RAFUDHI ZA WACHAGA MIAKA HIYO HAPO BADO HUJAINGIA KILIMANJARO.USHAMBA MTUPU WA MOROMBONi lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Kipekee sana.R zao zinavyotajwa aisee,
Tena haswa wale og kabisa, yaani full burudani🤣😁😁 Mimi pia