Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
πππ halafu siyo wote ni sehemu kama mbili tu nadhani ππππ una vituko sana mwenetu.
πππ halafu siyo wote ni sehemu kama mbili tu nadhani ππππ una vituko sana mwenetu.
Mi huwa sivutiwi sana na lafudhi ila napenda mtu yeyote anaeongea kiswahili kwa shida.πππ halafu siyo wote ni sehemu kama mbili tu nadhani π
πππ hiyo ni nje na Tz sasa au kama wapo ni huko ndani ndani sanaMi huwa sivutiwi sana na lafudhi ila napenda mtu yeyote anaeongea kiswahili kwa shida.
Kumbe msukuma!!Napenda lafudhi ya lugha yangu. Kisukuma ni tunaongea taratibu na kwa vituo na msisitizo....
Ukiweza kukiongea hukichoki
Mkurya na msukuma huwa haipandi tuu au wewe sio mkuryaπ€£Kumbe msukuma!!
Ndio maana ego juu kama tower!
π
Wazaramo watoto wa boni hia hia tauni mbona siwaoni katika huu uzi wakijipakulia mnyama?Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Mgosi - Wasambaa.Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Lakini R za kirangi na kichaga zinafanana japo wachaga sauti zao huishi vizuri..Wamasai na Warangi wananikosha sana, lafudhi zao kwa wanaoweza Kiswahili basi akiongea ni Kiswahili pure
Wapo wengi sana usukumani.πππ hiyo ni nje na Tz sasa au kama wapo ni huko ndani ndani sana