Hapo umechnganya lafudhi na lahaja za Kitanga na Kipemba. Wanaosema "WEYE" ni Wapemba na "TWAJA" ni Wadigo na watu wa TangaNakwambia weye watakiwa uondokee hapo nyumbaani mana wenzio kesho twaja
Wamburu wamburu dada wa kimburu akionge noma ukisikia babaa njooKuna lafudhi moja hivi ya kimombasa huwa akiongea mwanamke napagawa sana
Apo mix by pwaniHapo umechnganya lafudhi na lahaja za Kitanga na Kipemba. Wanaosema "WEYE" ni Wapemba na "TWAJA" ni Wadigo na watu wa Tanga
Hata Mm sijui kapotelea wapi!Atakuja mana jana sijamuona humu
HAMBWE FULU KUSEKA
Lakini kitandani sifuri😏Always warembo wa mikoa ya kaskazini Wana lafudhi nzuri, huwezi linganisha na warembo wa kisukuma au wakurya
Wamakonde marabq wale wa pwani ya LindiNi lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Eewaaaa.Haswaa Bi Shadeeya lafudhi ya pwani ni burudani tosha kabisa. Kuanzia pwani ya Kenya miji kama Lamu(Amu), Malindi, Mombasa na hii ya huku kwetu hasa Tanga sehemu za DUga Maforoni, Gombero, Maranzara, Kisimatui na Zanzibari.....
Ambiiwa. 😃Nakwambia weye watakiwa uondokee hapo nyumbaani mana wenzio kesho twaja
Hahahaa. Lol.Kuna lafudhi moja hivi ya kimombasa huwa akiongea mwanamke napagawa sana
Nikajua we mgeni kumbe unanifahamu!Atakuja mana jana sijamuona humu
HAMBWE FULU KUSEKA
😂😂 mtani naamini uko poa, ubingwa bado nautaka ujueWee naaaee. 😅😅
Mtani nakusalimia tu.
Aisee namshukuru M'Mungu mie niko poa kabisa Mtani.😂😂 mtani naamini uko poa, ubingwa bado nautaka ujue