Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipataje, nipo arushaTafuta Safaricom
Nashukuru mkuuKwangu Tigo ni the Best 😎
Kwa nini mkuu, toa sababu.Kwangu Tigo ni the Best 😎
Kwaajili ya usalama wa pesa zako
Kwaajili ya usalama wa pesa zako Tumia voda lipa
Hii si huduma ya kutuma pesa. Ni ya kufanyia malipo ya bidhaa. Sasa kwakuwa umemwaga siri hii hapa, mitandao husika inaweza ikabadilisha sera. Vitu vingine ni siri ya biashara na si vya kuanika hadharani.Kwa nini mkuu, toa sababu.
Nina Lipa ya voda, inasaidia sana kutoa bila makato makubwa, mtu akitaka kutuma pesa analipa na kukatwa kiwango kidogo sana.
Kwani unadhani naitumia kwa kazi gani mkuu, kulipia bidhaa. Au kwa vile nomesema "mtu akitaka kutuma"!Hii si huduma ya kutuma pesa. Ni ya kufanyia malipo ya bidhaa. Sasa kwakuwa umemwaga siri hii hapa, mitandao husika inaweza ikabadilisha sera. Vitu vingine ni siri ya biashara na si vya kuanika hadharani.
Hii si huduma ya kutuma pesa. Ni ya kufanyia malipo ya bidhaa. Sasa kwakuwa umemwaga siri hii hapa, mitandao husika inaweza ikabadilisha sera. Vitu vingine ni siri ya biashara na si vya kuanika hadharani.
Unamaanisha lipa no? Vodacom ni nzuri by far kwa sababu hiziWakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kusajili line ya lipa pesa, sijui ipi ni nzuri kwa ajili ya matumizi ya biashara.
Vodalipa
Airtellipa
Tigolipa
Nawasilisha
Asante mkuuUnamaanisha lipa no? Vodacom ni nzuri by far kwa sababu hizi
1. Kiasi chochote unatoa hata milioni mara ya kwanza bure (Tigo ina limit ya laki 5)
2. Mara ya pili na kuendelea makato yanaongezeka ila still ni rafiki kwa laki kadhaa watakukata 1000-2000 wakati Tigo tegemea kukatwa 7,000
Inshort Tigo lipa no ni scam, wanamkata mteja na wanakukata na wewe kwa laki kadhaa Ukimaliza laki 5 yako ya bure unatumia zaidi ya elfu 10 kutoa hela, mara Mia umwambie Mteja atoe kwa wakala mushee gharama.
Sajili zote, weka voda Main, mteja unampa Voda akilalamika anataka Airtel ama Tigo unampa.Asante mkuu
Paka sasa kutokana na coments za wadau
Naona naenda kusajili voda
Asante sana mkuu
Zingatia huu ushauri. Huyu jamaa Chief-Mkwawa ni muungwana sana. Si mchoyo wa kutoa ushauri wa kitaalamu kumsaidia mtu yeyote anayehitaji msaada. Ushauri wake wa kitaalamu huwa nauzingatia kwani umenisaidia kwenye mambo mengi. Ndugu Chief-Mkwawa, Nakutakia maisha marefu yenye ushindi na baraka tele ili uendelee kuwa msaada kwa wengine, kutokana ujuzi wako katika masuala ya kiteknolojia na mambo mengine pia.Unamaanisha lipa no? Vodacom ni nzuri by far kwa sababu hizi
1. Kiasi chochote unatoa hata milioni mara ya kwanza bure (Tigo ina limit ya laki 5)
2. Mara ya pili na kuendelea makato yanaongezeka ila still ni rafiki kwa laki kadhaa watakukata 1000-2000 wakati Tigo tegemea kukatwa 7,000
Inshort Tigo lipa no ni scam, wanamkata mteja na wanakukata na wewe kwa laki kadhaa Ukimaliza laki 5 yako ya bure unatumia zaidi ya elfu 10 kutoa hela, mara Mia umwambie Mteja atoe kwa wakala mushee gharama.
Faida zake please.Tafuta Safaricom