Ni laini gani ya lipa pesa ni bora kwaajili ya biashara?

Ni laini gani ya lipa pesa ni bora kwaajili ya biashara?

Voda ni bora kwasababu hata kutoa float mawakala ni wengi na ni rahisi kukupa cash.

#YNWA
#YNWA
 
Tigo kwenye huduma za kipesa wamefeli kabisa usijaribu
 
Back
Top Bottom