Ni lazima Afrika tuondoe mfumo wa elimu ya kiloni!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Hili ndilo janga kubwa kwani tumelishwa na kujifunza elimu ya kikoloni hivyo tunahitaji kufanya mapinduzi ya kielimu ili kusoma vinavyotuhusu tu na vya kwetu kwa wingi zaidi.
 
Turudi kwenye jando na unyago? Maana elimu ya Sayansi ipo universal dunia nzima
Hesabu, Physics, Kemia, Biology, Chemistry, Geography, haya masomo ndio msingi wa Sayansi na maendeleo ya kisasa na yanafundishwa Duniani kote, sio masomo ya "kikoloni"
Japan, Qatar, Brazil, UK, China n.k utayakuta kwa namna moja au nyingine
 
Wasomi wetu hawataki kutumia kiswahili kufundishia ndio uwaambie wabadili mtaala hutaeleweka bali utadharauliwa sana.
 
Moja ya kuiga mifumo ya elimu ya kikoloni ni matumizi ya lugha hiyo katika kufundishia.
Utafiti unaonesha mataifa yanayoongoza katika gunduzi hapa Duniani hutumia lugha zao za asili katika kufindishia,mataifa kama Korea,China,Germany,Japan & Sweden.

Ukija kwa nchi kama yetu ni kazi sana mtu maarifa anayapata kutumia kiingereza ambacho hakielewi vizuri inakuwa ngumu sana.

Katika makosa Nyerere alifanya ni hili,kama alikuwa anataka Kiswahili kiindelee basi angeacha kiongolewe mtaani ila shuleni kuanzia chekekechea watu waanza na english
 
Turudi kwenye jando na unyago? Maana elimu ya Sayansi ipo universal dunia nzima
Hesabu, Physics, Kemia, Biology, Chemistry, Geography, haya masomo ndio msingi wa Sayansi na maendeleo ya kisasa na yanafundishwa Duniani kote, sio masomo ya "kikoloni"
Japan, Qatar, Brazil, UK, China n.k utayakuta kwa namna moja au nyingine
Haya umeshayasoma hayo masomo yote je umeendelea mpaka sasa kama walivyoendelea waliokuletea huo mfumo wa elimu?
 
Hakunaga mfumo wa kikoloni ila kuna mfumo uliopoteza direction kwasababu hauendani na uhalisia wa maisha ya sasa.
 
Moja ya kuiga mifumo ya elimu ya kikoloni ni matumizi ya lugha hiyo katika kufundishia.
Utafiti unaonesha mataifa yanayoongoza katika gunduzi hapa Duniani hutumia lugha zao za asili katika kufindishia,mataifa kama Korea,China,Germany,Japan & Sweden.

Ukija kwa nchi kama yetu ni kazi sana mtu maarifa anayapata kutumia kiingereza ambacho hakielewi vizuri inakuwa ngumu sana.

Katika makosa Nyerere alifanya ni hili,kama alikuwa anataka Kiswahili kiindelee basi angeacha kiongolewe mtaani ila shuleni kuanzia chekekechea watu waanza na english
Kwani kiingereza ndiyo lugha ya maendeleo?hao china,korea,japan,nk wanatumia lugha ya kiingereza hadi kufikia hayo maendeleo??acheni ujinga huwezi ukajifunza kupitia lugha 3 ukatarajia kuendelea sawa na anayejifunza kupitia lugha 1
 
Mods rebisheni Tittle inamaana hamjaisoma nyie wapu*mbavu

Hamjaona neno kiloni
 
Hili ndilo janga kubwa kwani tumelishwa na kujifunza elimu ya kikoloni hivyo tunahitaji kufanya mapinduzi ya kielimu ili kusoma vinavyotuhusu tu na vya kwetu kwa wingi zaidi.
Me tuna mbadala? Kama tumewekeza zaidi kwenye siasa kuliko taaluma tutaweza?
 
Back
Top Bottom