Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
nje ya madaArteta ni kama mbowe tu [emoji16][emoji23]
Poleni sanaWashabiki wa Arsenal siku hizi tumefikia hatua ya kuwatuma watu watuangalizie mechi zetu, akikwambia imeshinda ndio unatafuta kwenye TV uendelee kuangalia, na unaingia kimyakimya unasubiri mechi iishe ndio ushangilie.
Si walisema kanunua majembe , imekuwaje tena ?Arteta ana kikosi chepesi halafu ana kiburi. Mwenzake Guardiola ana watu wa kazi na ana tactics, yeye sasa!
Huku nikuishiwa mawazo. Tulieni mtafute mwalimu mzuri. Hii game mnachezewa na TOt hapa ni wazi arsenal haina kochaaBora arudi Arsenal Wenger tu
i dont see this team as a big team anymoreOhoooo !