Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Kushinda hako kamechi kamoja ndio nisha kuwa mboyoyo !Ww ni mboyoyo kwenye kila kitu. Hamna kitu unajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushinda hako kamechi kamoja ndio nisha kuwa mboyoyo !Ww ni mboyoyo kwenye kila kitu. Hamna kitu unajua
Miezi ya arsenal siyo hiiVipi bado Arsenal inashuka daraja?
Miezi ya arsenal siyo hii
Hivi hili jinga kubwa unalitilia maanani?Hilo halina la maana linaloweza kusema ni kuropoka tu.Ipi hiyo na ya mwaka gani? Uliingia chaka [emoji3]
Kwa hiyo kufika Mei hivi Arsenal wanaweza shuka daraja? Poa mwanetu sisi tupo na subra kusubiriaMiezi ya arsenal siyo hii
kumbe Arsenal ni bigwa hongereni sanaErythrocyte [emoji23] wakati unaandika huu Uzi ulikuwa na stress sana kutokana na matokeo ya gunners. Haya kabadili uelekeo sasa na useme arsenal bingwa!