Ni lazima Mikel Arteta atimuliwe ili Arsenal isishuke daraja

Arsenal sio timu kubwa tena, tuache kudanganyana. Wachezaji wa maana pale hawazidi wanne. Tukubali matokeo tu, hata kocha bora pale hupati kitu! Ni middle timu.

Wala sipotezi muda wangu kuifuatilia siku hizi, simba inafanya vizuri inatosha.
Pia Maniyuu siyo timu kubwa ni jina tu limebaki.
 
Mechi 14 point 14 mbona sielewi matokeo haya ya Arsenal inamaana kila mechi kapata point moja au kwa sababu matokei yapo hivi ukishinda ni poit 3 ukitoka sare ni point mbili munagawana na mwenzako inakuwa 1 wewe na moja mwenzako.sasa Arsenal dahh alianza ligi vizuri na alikuwa nafasi za juu kashuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…