Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Mkuu hata mimi sielewi maana sijui anataka kumkomoa nani mtoto au baba? Sometimes kweli common sense ain't common[no hakuna ninayemkomoa ninataka kutengeneza mazingira mazuri ya ukweli wa maisha yangu na baba yake.ctaki kumficha wala kumdanganya.coz it might cost me later on.
]
sijawahi kuwa na tabia ya kusikiliza kesi upande mmoja. i am sorry my dia. you might be a source of what is happening to you endapo upande mwingine ungepata chance ya kujieleza.
sijawahi kuwa na tabia ya kusikiliza kesi upande mmoja. i am sorry my dia. you might be a source of what is happening to you endapo upand
e mwingine ungepata chance ya kujieleza.[thanx 4 ur opinion.ni mawazo yako na ninayaheshimu]
na haki ya kwanza kwa baba ni ipi?? Kumtelekeza mtoto??dada yangu mimi naamini haki ya kwanza ya mtoto amfahamu baba yake hata kama kuna tatizo/// je wewe ukirudi una sehemu ya kufikia au ndo unatakiwa kufikia kwa huyo bwnaa ??
na haki ya kwanza kwa baba ni ipi?? Kumtelekeza mtoto??
[tulikubaliana wote coz tulikaa muda mrefu na kipindi chote tulikuwa mm na yeye tu.tukaona tuongeze familia ambayo ni mtoto. Matokeo yake nimebaki lonley]
nisaidie tu ndugu yangu.na haki ya kwanza kwa baba ni ipi?? Kumtelekeza mtoto??
tulikuwa na maelewano mazuri tu.nilishangaa tu nilivyokuja huko alibadilika sana na kwa kasi ya ajabu.kabla hujaenda kujifungua mlikuwa na maelewano mazuri ????
tulikuwa na maelewano mazuri tu.nilishangaa tu nilivyokuja huko alibadilika sana na kwa kasi ya ajabu.
tulikuwa na maelewano mazuri tu.nilishangaa tu nilivyokuja huko alibadilika sana na kwa kasi ya ajabu.kabla hujaenda kujifungua mlikuwa na maelewano mazuri ????
alibadilika baada ya mm kwenda kujifunguakwa hiiyo alibadilika baada ya wewe kwenda kujifungua au katika wakati wa ujauzito???
je ulishawahi kuongea nae kuhusu mabadiliko yake na alisemaje??/
nini hasa mabadiliko yake yalikuwa??
je kwenye bar mlikuwa mnaenda wote???
je suala la kipato likoje?
alibadilika baada ya mm kwenda kujifungua
~na baa nilikuwa naenda nae but smtims
~suala la kipato anacho tena kikubwa mara mbili yangu anafanya kazi wizara ya ardhi.
..
alibadilika baada ya mm kwenda kujifunguakwa hiiyo alibadilika baada ya wewe kwenda kujifungua au katika wakati wa ujauzito???
je ulishawahi kuongea nae kuhusu mabadiliko yake na alisemaje??/
nini hasa mabadiliko yake yalikuwa??
je kwenye bar mlikuwa mnaenda wote???
je suala la kipato likoje?
tulikuwa tunaelewana vizuri na kuondoka tulikubaliana nitangulie then yeye achukue likizo ili aje akae kidogo then tusafiri twende kwao then turudi kwetu dar.matokeo yake nimeambulia matusi kutelekezwa na fedheha.hapa mtoto anaathiriwa na kutokuelewana kwa wazazi na ndo maana niliuliza swali kitambo sijapata jibu .. nani ambaye alitoa wazo la kubeba mimba au ndo zile mimba za bahati mbaya??? je wakati anaondoka maelewano yao yalikuwaje maana tunakuja kuelezwa tatizo bila chanzo cha tatizo
kiukweli rafiki zake hawakuwa wazuri kitabia na nilimshawishi sana akapunguza tabia ya kwenda baa.na nilikuwa nae karibu sana mpaka akazoeamlipoluwa mnaenda bar makundi yake yalikuwaje ???
je mlipokuwa mnaishi alishawahi kukunyanyasa kwa suala la kipato??
je mlikuwa mko huru kimaongezi?
thanx love is blind ndugu at that time i was blind but nw ndo naona hw stupid i was na wakati ni too late.sina jinsi but to face the realitywanawake! Unaacha kazi, shule, biashara kwa ajili ya mwanaume? Kweli hamjifikirii. Ila pole sana. Piga moyo konde.
<br><br>pole sana dada .. je ukijaribu kuwasiliana nae mida ya mchana au asubuhi ya kawaida anapokea simu na anatukana au ???<br><br>sasa wewe rudi dar maadam ulijifungua salama , fikia kwa ndugu zako ila kabla ya kuja wewe mwarifu siku ya kuja na umwambie utakapofikia /... asipojitokeza kuja kukupokea ukifika kwa ndugu zako mwarifu umefika na kama kwa siku mbili hataki mawasiliano na wewe mpigie simu umwambie unataka kuonana nae ikiwezekana iwe over the weekend tulikuwa tunaelewana vizuri na kuondoka tulikubaliana nitangulie then yeye achukue likizo ili aje akae kidogo then tusafiri twende kwao then turudi kwetu dar.matokeo yake nimeambulia matusi kutelekezwa na fedheha.
kiukweli rafiki zake hawakuwa wazuri kitabia na nilimshawishi sana akapunguza tabia ya kwenda baa.na nilikuwa nae karibu sana mpaka akazoea
~nadhani kuhusu kipato alishindwa coz ckuwa dependant saaaana coz tuliishi kwa kusaidiana
~saana kwa asilimia 80 nimechangia kumbadilisha tabia yake nashangaa kwann amenikatili hivi